N-handsome
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,453
- 560
Vipi bado haujatoa report? niPM nikusaidie contacts za respectable civil servant akuassist
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Happy New Year wana JF,
Utaratibu ukoje wa kuripoti kuwa kuna jasusi au mtu unayeshuku au una uhakika kuwa ni spy anakusanya taarifa nchini kwa manufaa ya taarifa nchi anayoitumikia?
Je usalama wa taifa una kitengo cha kudeal with such cases? If yes kinaitwaje?
Nina taarifa muhimu. Police najua hawana jinsi ya kudeal na swala hili kwani wako bize sana na crime and ufisadi issues 🙁
body language pekee inatosha ku raise suspicionJe una uhakika kuwa hy ni spy. Evidence unazo? Maana bila evidence mh!