pole jasusi kwa kushituka sijui kweli km ni jasusi halisi. Issue km hiyo waweza toa taarifa kwa mdomo kwa kwenda kuonana na DSO au kufika kituo cha polisi na kuomba kuonana na kiongozi yeyote nagazi ya wilaya na kuendelea,au waweza piga simu au kuandkika ujumbe na kuupeleka sehemu tajwa km hutaki kujulikana make mtoa taarifa si lzm ajulikane,si kweli polisi wako busy sana make hili nalo pia ni kosa,ukienda kwa mbunge au DC lazima atakuja polisi au kwenda UWT,polisi na UWT wanafanya kazi pamoja tena polisi wana taarifa karbia zote za uhalifu wa kila aina na wkt mwingine UWT huwategemea sana polisi ktk kupata taarifa zao,km huamini jaribu kufuatilia kwa sababu UWT hawapendi kujulikana tofauti na polisi hivo polisi huwa na taarifa nyingi mno.