Jasusi wa kiuchumi na demokrasia

Jasusi wa kiuchumi na demokrasia

mapessa

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
664
Reaction score
1,168
Samia Suluhu Hassan Jasusi wa diplomasia na Uchumi.

Amekataa kuwa mrithi wa suala la uhaba na bei kubwa ya Sukari, miezi ya kiangazi Tanzania sukari huwa kama kaa la moto.

Amegoma kabisa kuwa mrithi wa sera mbaya za uchumi, utekelezaji mbaya wa diplomasia yetu, Serikali kuwa na juhudi ndogo za kutafuta masoko ya bidhaa zetu kimataifa.

Amesahisha Mahusiano yetu na nchi ya Kenya.

Ametumia diplomasia yetu na Nchi ya India kurejesha soko la Mbaazi, Choroko, Korosho na Giligilani. Mwaka 2016 Mbaazi ulishuka kutoka Shilingi 3000 hadi shilingi 150 kwa kilo moja ya mbaazi.

Ameweka msisitizo zaidi kwenye uzalishaji wa mazao ya kibiashara. Ngano, Kahawa, Michikichi kwa ajili ya kuzalisha mawese lengo ni kupunguza utegemezi wa Mafuta ya kula kutoka nje, kuinua viwanda vya ndani pamoja kuinua hali za maisha za watanzania.
 
Namuelewa sana huyu mama kwenye diplomasia na uchumi. Hujakosea kumuita jasusi.

Ukweli sis ni sadist tu mtu hapewi maua kuyanusa hadi awe amekufa.

Jambo moja kwa Samia hana papara kwenye kuendesha mambo ya nchi.
 
Mama ameupiga mwingi sana wakulima sasa wanapata faida sio kama zamani mkulima alikua hadhaminiki
 
Namuelewa sana huyu mama kwenye diplomasia na uchumi. Hujakosea kumuita jasusi.

Ukweli sis ni sadist tu mtu hapewi maua kuyanusa hadi awe amekufa.

Jambo moja kwa Samia hana papara kwenye kuendesha mambo ya nchi.
Exactly pia mama hayumbishwi na maneno ya wanasiasa uchwara tena mama amefocus katika sekta muhimu ya afya elimu, miundombinu, pia kilimo
 
25 October 2022
Nairobi, Kenya

HOW THIS AFRICAN COUNTRY IS TAKING OVER THE WORLD 2022/2023.

The Republic of Kenya is a nation known for its huge and differing social heritages. by producing amazing people who become prominent world leaders from politics to athletics, from producing world presidents to celebrities, from actors to philanthropists, from great cultural heritage to the large ethnic groups it resides, it is safe to say, Kenya is one of the few countries that are immensely blessed. Till today, kenya is still amazing the world by producing world leaders. With recent news of Rishi Sunak who is on the race to replace Liz Truss as UK Prime Minister.
 
Britain's new Prime Minister Rishi Sunak joined Diwali celebrations at 10 Downing Street on Wednesday (October 26, 2022).
 
Samia machachari sana, mtangulizi wake alikuwa analihujumu Taifa.
 
Back
Top Bottom