Samia Suluhu Hassan Jasusi wa diplomasia na Uchumi.
Amekataa kuwa mrithi wa suala la uhaba na bei kubwa ya Sukari, miezi ya kiangazi Tanzania sukari huwa kama kaa la moto.
Amegoma kabisa kuwa mrithi wa sera mbaya za uchumi, utekelezaji mbaya wa diplomasia yetu, Serikali kuwa na juhudi ndogo za kutafuta masoko ya bidhaa zetu kimataifa.
Amesahisha Mahusiano yetu na nchi ya Kenya.
Ametumia diplomasia yetu na Nchi ya India kurejesha soko la Mbaazi, Choroko, Korosho na Giligilani. Mwaka 2016 Mbaazi ulishuka kutoka Shilingi 3000 hadi shilingi 150 kwa kilo moja ya mbaazi.
Ameweka msisitizo zaidi kwenye uzalishaji wa mazao ya kibiashara. Ngano, Kahawa, Michikichi kwa ajili ya kuzalisha mawese lengo ni kupunguza utegemezi wa Mafuta ya kula kutoka nje, kuinua viwanda vya ndani pamoja kuinua hali za maisha za watanzania.