Jasusi wenu Gwajima karudi kasi kwenye kazi yake ya utapeli

Binafsi naogopa sana kuwasema au kuwahukumu watumishinwa Mungu kwani binafsi naamini mtu hawezi kutoka from nowhere akamtumikia au akasema yeye ni Mtumishi wa Mungu kwani sijui patano lake na Mungu wake ila kwa msingi wa kibiblia, Gwajima kwa kujiinua, kiburi, dharau, mahubiri ya kupigwa, mafundisho ya kufufua wafu, mashindano n.k alishaanguka kitambo.

Hakuna Mungu tena kwake kama awali.
 
Nini kinakufanya useme hakuna Mungu tena kwake?
 
UKISOMA HUU MSTARI HARA GWAJIMA UNAMWACHIA MUNGU APAMBANE NAE
TUEPUKE HAWA WATU KABISA...
 
Attachments

  • Screenshot_20260224_075839_Chrome.jpg
    Screenshot_20260224_075839_Chrome.jpg
    107.2 KB · Views: 26
Gwaji boi ana zungumzia utekaji, badala ya kujibu alichosema nyinyi na akili zenu za kuungaunga mnamattack mtu ambae ni gwaji boi
 
Back
Top Bottom