Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Wale wale tu mataperi, kama upatu tu, Mr kuku, jatu kilimo, kayanda, mle mle , zaNaanza kupata mashaka kuhusu kijiji cha nguruwe kinacho tumia nguvu nyingi kupitia watu maarufu kuwekeza mradi.
Hivi kama umefanikiwa kuna ulazima gani watu watoe pesa zao wafugiwe,watafutiwe soko na faida.
Tafakarini kabla jua kuzama ijumaa
Nawakumbusha tu mzee wa vanilla bwana Simon ndio huyohuyo wa kijiji cha nguruwe ameibuka kivingine baada ya kuona vanilla ameshikiliwa koo watu wanadai pesa zao..Naanza kupata mashaka kuhusu kijiji cha nguruwe kinacho tumia nguvu nyingi kupitia watu maarufu kuwekeza mradi.
Hivi kama umefanikiwa kuna ulazima gani watu watoe pesa zao wafugiwe,watafutiwe soko na faida.
Tafakarini kabla jua kuzama ijumaa
subiri kilimo cha tende na ufugaji wa ngamia kuhusu maziwa na mlivo kuwa mnapenda kusuport dini yenu mnalizwa mapema.๐๐๐๐ Naona wasanii wanavyopigia promo, wagalatia watapigwa mda sio mrefu.
Ila huyu jamaa wa Vanilla bana๐๐.... Anakupigia hesabu za mabilioni kwa uwekezaji wa milioni mbiliNawakumbusha tu mzee wa vanilla bwana Simon ndio huyohuyo wa kijiji cha nguruwe ameibuka kivingine baada ya kuona vanilla ameshikiliwa koo watu wanadai pesa zao..
Alafu jamaa ni kama 50 hasi hamsini chanya..
Shetani unatetea dini yako.. ๐ ๐subiri kilimo cha tende na ufugaji wa ngamia kuhusu maziwa na mlivo kuwa mnapenda kusuport dini yenu mnalizwa mapema.
Nimesahau na uwekezaji wa majini unakuja soon
bado mjasema na mtasema soon kuna kuwekeza ccm ili ujipatie ubungeShetani unatetea dini yako.. ๐ ๐
Hao jamaa huwajui wewe....subiri kilimo cha tende na ufugaji wa ngamia kuhusu maziwa na mlivo kuwa mnapenda kusuport dini yenu mnalizwa mapema.
Nimesahau na uwekezaji wa majini unakuja soon
Hivi yawezekana watu wamepigwa kwenye Vannila?Ila huyu jamaa wa Vanilla bana๐๐.... Anakupigia hesabu za mabilioni kwa uwekezaji wa milioni mbili
Wizi tu mazeeHivi yawezekana watu wamepigwa kwenye Vannila?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]๐ซฃWajinga hawaishi mkuu, ndio maana mpaka leo dini zipo
Du...umenishitua kidogo hapo kwenye dini...Wajinga hawaishi mkuu, ndio maana mpaka leo dini zipo
Tz ina wajinga wengi sanaKumbe ishu ya vanilla watu wamepigwa na inawezekana ni huyu huyu kaja kivingine, noma sana
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
ujakutana na tapeli internationHao jamaa huwajui wewe....
Waulize maustadh ndiyo watakwambia....
Muislamu pesa yake hailiwi kizembe...huwa inafikia wakati shekhe anatoa mada za moto na majoka ili watu watoe pesa.
Ndiyo maana kwa waislam hakuna utapeli kama wa kina Gwajima na Mwamposa.