JATU, Mr. Kuku, Vanira na sasa Kijiji cha Nguruwe

JATU, Mr. Kuku, Vanira na sasa Kijiji cha Nguruwe

Hao jamaa huwajui wewe....
Waulize maustadh ndiyo watakwambia....
Muislamu pesa yake hailiwi kizembe...huwa inafikia wakati shekhe anatoa mada za moto na majoka ili watu watoe pesa.

Ndiyo maana kwa waislam hakuna utapeli kama wa kina Gwajima na Mwamposa.
Pia hao wape mawaidha ya mabikra 72, na mito ya pombe mbona sadaka watatoa wenyewe huku wakisema allah akbar.....allah akbar....
 
Tanzania wajinga ni wengi na hawaishi.Watu watapigwa na yatakuja maupatu mengine na bado yatawapiga wengi .Acha wapigwe hadi akili ziwakae sawa.
 
Pia hao wape mawaidha ya mabikra 72, na mito ya pombe mbona sadaka watatoa wenyewe huku wakisema allah akbar.....allah akbar....
Hayo mimi siyajui...ni imani yao hiyo.
Wewe una imani yako pia.
Kwani Bwana Jesus nasemaje kuhusu malipo ya watu wema huko mbinguni....?

Ila hao jamaa huwezi kuwatapeli kwa maombi.
Pesa yao hailiki kizembe....imefikia hatua ni bora anunue Luku na bili ya maji then apeleke risiti msikitini.
 
Hadi Dotto magari alipelekwa pale. Picha wanaichukua upande kidogo na ni banda moja lenye nguruwe walioshiba ndio hupendelea kulionesha kila wakipeleka watu maarufu.

Juzi kati walimpeleka msanii Mwanya akasema ameweka milion 700 wakati kwa haraka haraka hata nguruwe 50 hawafiki.

Inajulikana kijiji ni kikubwa lakini wao hawathubutu kuchukua picha ya drone mana inaonekana ni mabanda kama matano tu ya futi 10 ndio yameunda kijiji cha nguruwe.

Watu wakipigwa watakuwa wajinga. Ila sidhani kama watu wengi watapigwa pale kwa sababu ya aina ya huo mfugo, wangesema kijiji cha mbuzi wangewaokota wengi
 
Kaka
Naanza kupata mashaka kuhusu kijiji cha nguruwe kinacho tumia nguvu nyingi kupitia watu maarufu kuwekeza mradi.

Hivi kama umefanikiwa kuna ulazima gani watu watoe pesa zao wafugiwe,watafutiwe soko na faida.

Tafakarini kabla jua kuzama ijumaa
Yake shetani untoa muongozo wa kuwaokoa wadanganyika,mbona kama hii sio kazi yako kama ndugu wa shetani
 
Naanza kupata mashaka kuhusu kijiji cha nguruwe kinacho tumia nguvu nyingi kupitia watu maarufu kuwekeza mradi.

Hivi kama umefanikiwa kuna ulazima gani watu watoe pesa zao wafugiwe,watafutiwe soko na faida.

Tafakarini kabla jua kuzama ijumaa
Wajinga hawaishi
 
Nahisi serikalini kuna wajanja wanakuwa behind the scenes kwenye hii miradi ya kitapeli.....pesa zikishakuwa nyingi mradi unapigwa stop halafu hao wajanja kuna namna wanafaidika na hizo pesa.
bado mjawa na jicho la tatu kuhusu wisdom ya dunia
 
ni hivi ni hiyo hiyo.. Doto magari , alienda Dodoma kwamba anacheki, uwekezaji wake??
Atakuwa kapelekwa huko kama influencer 😄 jamaa Ana ushawishi,jamAa ni role modooo
😄 chochote akisema wabongo watamsikiaa na kumfata 😄

Ova
 
Back
Top Bottom