Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Wabongo hawajifunzi kamwe.Naanza kupata mashaka kuhusu kijiji cha nguruwe kinacho tumia nguvu nyingi kupitia watu maarufu kuwekeza mradi.
Hivi kama umefanikiwa kuna ulazima gani watu watoe pesa zao wafugiwe,watafutiwe soko na faida.
Tafakarini kabla jua kuzama ijumaa