JATU, Mr. Kuku, Vanira na sasa Kijiji cha Nguruwe

Naanza kupata mashaka kuhusu kijiji cha nguruwe kinacho tumia nguvu nyingi kupitia watu maarufu kuwekeza mradi.

Hivi kama umefanikiwa kuna ulazima gani watu watoe pesa zao wafugiwe,watafutiwe soko na faida.

Tafakarini kabla jua kuzama ijumaa
Unfortunately m0therfvckers will succumb to this scam,yet once again....

Fvck Tanzanians
 
Mkuu.
Unaongelea waislamu gani? Hawa hawa tunaishi nao kitaa? Au wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…