Azikiwe
Senior Member
- Nov 13, 2009
- 190
- 20
Kumradhi labda macho yangu hao wa nyuma sidhan kama wana mpango wa ndoa leo ...mmh macho yao tu
jamani huyu si alishaoaga mwanzoni...ile ndoa ilikufilia wapi??na wakristo kuna kuachana ???
MJUE NABII TITO
Nabii huyu akiulizwa :Inasemekana wewe ni nabii wa uongo?.Nabii Tito:.Ni uongo gani ninaosema wakati kila kitu kimeandikwa katika biblia takatifu?kunywa pombe si dhambi,kwenda disco si dhambi,Dhambi ya ZINAA kwa mwanaume haimuhusu ndio maana mwanaume hana talaka,Kutumia CONDOM ni dhambi kubwa sana maana tendo la ndoa si starehe bali ni uumbaji(creation)hivyo unapotumia condom na kutupa inamaana unaua viumbe aliokupa
Hapo nabii Tito akisema kuwa kuwa na wanawake wengi si dhambi Mungu anapenda hivyo akatolea mfano katika biblia wa mfalme Suleiman aliyekuwa na wanawake wengi sana lakini bado alikuwa ni kipenzi cha MUNGU.Yeye nabii TITO akasema mwenyewe ana wake wa3.wawili wako hapa DAR,mmoja yuko ARUSHA..na ana mpango wa kuongeza wake mpaka wafike saba na taarifa hizi kashawaambia wake zake,Nabii Tito ana watoto 7 wake kabisa hivyo kuendelea kushikilia msimamo wake wa suala hili katika imani yake.
karatasi zake anazoziuza shilingi elfu moja..baadhi ya mambo anayozungumzia ni kunywa pombe na kula nguruwe si dhambi,kuoa wanawake wengi na kutoa talaka si dhambi kabisa,mwanaume dhambi ya zinaa haimuhusu kabisa,wababa ni dhambi kutumia condom,ni dhambi mwanamke kusalisha na kumtawala mwanaume..katika vipengele vyote hivi katoa na nukuu ya mistari katika biblia,MUNGU ni binadamu tena mwanaume.