Jay Dee na Gadner watimiza miaka 5 ya Ndoa

Jay Dee na Gadner watimiza miaka 5 ya Ndoa

Kumradhi labda macho yangu hao wa nyuma sidhan kama wana mpango wa ndoa leo ...mmh macho yao tu

jamani huyu si alishaoaga mwanzoni...ile ndoa ilikufilia wapi??na wakristo kuna kuachana ???

MJUE NABII TITO

Nabii huyu akiulizwa :Inasemekana wewe ni nabii wa uongo?.Nabii Tito:.Ni uongo gani ninaosema wakati kila kitu kimeandikwa katika biblia takatifu?kunywa pombe si dhambi,kwenda disco si dhambi,Dhambi ya ZINAA kwa mwanaume haimuhusu ndio maana mwanaume hana talaka,Kutumia CONDOM ni dhambi kubwa sana maana tendo la ndoa si starehe bali ni uumbaji(creation)hivyo unapotumia condom na kutupa inamaana unaua viumbe aliokupa

Hapo nabii Tito akisema kuwa kuwa na wanawake wengi si dhambi Mungu anapenda hivyo akatolea mfano katika biblia wa mfalme Suleiman aliyekuwa na wanawake wengi sana lakini bado alikuwa ni kipenzi cha MUNGU.Yeye nabii TITO akasema mwenyewe ana wake wa3.wawili wako hapa DAR,mmoja yuko ARUSHA..na ana mpango wa kuongeza wake mpaka wafike saba na taarifa hizi kashawaambia wake zake,Nabii Tito ana watoto 7 wake kabisa hivyo kuendelea kushikilia msimamo wake wa suala hili katika imani yake.

karatasi zake anazoziuza shilingi elfu moja..baadhi ya mambo anayozungumzia ni kunywa pombe na kula nguruwe si dhambi,kuoa wanawake wengi na kutoa talaka si dhambi kabisa,mwanaume dhambi ya zinaa haimuhusu kabisa,wababa ni dhambi kutumia condom,ni dhambi mwanamke kusalisha na kumtawala mwanaume..katika vipengele vyote hivi katoa na nukuu ya mistari katika biblia,MUNGU ni binadamu tena mwanaume.
 
hivi nyie mnaokerwa na Jide kutozaa inawahusu nini? mbona mnawapangia watu maisha yao? mnajua shida gani aliyonayo? je kama ana matatizo ya kiafya? je kama anahitaji kuishi maisha yake bila watoto? je kama lengo lake ni kuhakikisha anafanya kazi na kupata pesa ya kusupport watoto wengi wa mtaani ambao nyie mnaopenda kuzaa mmewatelekeza? acheni hizo, ishini maisha yenu. nani kasema watoto ni priority kwa kila mtu?
 
wako kivipi? hawana lolote. I can say siyo wa kuigwa hata bure na hatuna kitu cha kujifunza kutoka kwao.
Mungu awabariki wapate watoto na wawe na heshima.
 
Camel you are outdated! hujui nini maana ya kuzaa ndiyo maana unababwaja. Nini maana ya Ndoa kwa ufahamu wa haraka? Hata wewe tukimsema hayakuhusu.
 
Camel you are outdated! hujui nini maana ya kuzaa ndiyo maana unababwaja. Nini maana ya Ndoa kwa ufahamu wa haraka? Hata wewe tukimsema hayakuhusu.

wewe ndie uko outdated,wacha kufatilia yasokuhusu kama umezaa kimpango wako,kinakuuma jide kutokuzaa kwani mkweo yule.???...either amechoose kutokuzaa ama bahati mbaya hana uwezo huo,bado hayakuhusu mama weee....
 
mi nafikiri Manka na gadner hawanampango wa familia kwa sasa kwasababu sikuhizi hakuna kinachoshindikana na isitoshe manka pesa anayo anaweza kufanya ivf kama tatizo ni lake au kama hana mayai anaweza kudonetiwa na kama hana uterus anaweza akamtafutafuta mtu ambebee kwa iyo uwezekano wa kua na mtoto ni mkubwa hajaamua tu.na kama hawataki hayo yote wanaweza kuadopt,sasa nyie waoza vinywa shida yenu nini?mnazaa kuwaangalia watoto hamuwezi kutwa kufumaniana sie wabongo bwana tumejaa majungu na chuki.
 
hivi nyie mnaokerwa na Jide kutozaa inawahusu nini? mbona mnawapangia watu maisha yao? mnajua shida gani aliyonayo? je kama ana matatizo ya kiafya? je kama anahitaji kuishi maisha yake bila watoto? je kama lengo lake ni kuhakikisha anafanya kazi na kupata pesa ya kusupport watoto wengi wa mtaani ambao nyie mnaopenda kuzaa mmewatelekeza? acheni hizo, ishini maisha yenu. nani kasema watoto ni priority kwa kila mtu?

:A S 41:

Camel you are outdated! hujui nini maana ya kuzaa ndiyo maana unababwaja. Nini maana ya Ndoa kwa ufahamu wa haraka? Hata wewe tukimsema hayakuhusu.

:frown:

wewe ndie uko outdated,wacha kufatilia yasokuhusu kama umezaa kimpango wako,kinakuuma jide kutokuzaa kwani mkweo yule.???...either amechoose kutokuzaa ama bahati mbaya hana uwezo huo,bado hayakuhusu mama weee....

:confused2:
 
"Beauty is in the eyes of the OWNER." ACHA KUWAKASHIFU WENZIO
HONGERA SANA MR & MRS GARDER MUNGU AWABARIKI. AWAPE MAISHA YA UPENDO NA AMANI.
 
Duh

Hawa wanakufuru Mungu. Wangepita msikitini hawa hakuna cha Habashi wala JIDE, mboko tu
 
Back
Top Bottom