Jay Moe aonyesha utu uzima dawa katika hili game

Jay Moe aonyesha utu uzima dawa katika hili game

Mkuu nikusahihishe Nash Mc haimbi bali ana Rap

Its Ok my point track aliyoitoa Jay Mo juzi ni style yake tangu zamani.Kama uliwahi sikiliza Ingekuwa Vipi,Story 3 na Famous
 
Its Ok my point track aliyoitoa Jay Mo juzi ni style yake tangu zamani.Kama uliwahi sikiliza Ingekuwa Vipi,Story 3 na Famous

Ok kwahiyo unashauri angebadili style kidogo?
 
Inategemea unamzungumzia nani. .Jay moe hatoi ngoma ili apate pesa ya kulipia kodi ya nyumba na ndo maana kuna mstari anakuambia kuna wasanii wanasukuma mipira ya hatari unaweza ukajua wanaishi nyumba za ghorofa. ....si kila msanii bongo ni kama nassib. ....kwa hip hop ya bongo ni chiddy benz tu alikuwa na pace ya Usain bolt. ..
Mziki wa sasa hivi ni kazi maana una waweka mjini watu....na mziki wa sasa hivi ni biashara kubwa sana aisee kwaio kusea Jay Moe anafanya mziki si tu apate pesa maana yake anafanya mziki part time, halafu inaonekana yeye kua na nyumba anaona kitu cha hatari sana,,na pia ukweli ni kwamba hawezi fanya mziki apate helasasa hivi maana zama zake zimeshapita? sasa ametoa hio nyimbo iliijulikane kwamba bado yupo au? maana kutoa nyimbo una expect shows...wasiofanya mziki wapate hela wengine ni akina B.O.B Click ambao nadhani hua wanafanya show...na hela wanapiga labda mimi sielewi kitu aiseee
 
Jaymoe aka mbakiaji, mawazo, mo technic mo fleva.

Ulimwengu ndio mama one of the baddest hiphop albums hapa bongo.
 
Moe technic anajua. Nimeisikia hiyo ngoma Ni kali. Kuna haja ya wasanii kama moe kubaki kwenye mstari kuburudisha Mashabiki wake wa kweli
 
Back
Top Bottom