Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Katika Siku ya jana rapper jay z ali achia live freestyle session katika jukwaa la roots picnic.
Freestyle hiyo ilibeba jumbe kadhaa zilizo walenga baadhi ya wasanii wa hip-hop, au maadui walio muandama katika kipindi cha nyuma.
Katika orodha hiyo yupo drake, nicki minaj, Kanye west, na tory lanez.
ila hapa tuta jadili zaidi kuhusu drake na nicki minaj, maana majibu ya hawa yanaweza fanya impact kwenye culture impact ya hip hop.
Shots at drake,
"The jig is up, niggas I'm up 10, wrong chart champ you gotta look up again, niggas looked up to Hov, I never looked up to them"
kama una fatilia hip hop kuna story ya kitambo inasema bora uchukue usd 500k au ule mlo na jay z.
- ambapo drake ali utumia mstari huo kwenye album yake ya iceman(Janice stfu song) na kusema yeye atachukua usd 500k kwakuwa hana lolote la kujifunza kutoka kwao.
Kwakuwa jay z hajawahi kuwatazama ma rapper wengine kama walimu wake, ila hao ma rapper wame wahi kumtazama jay z kama mwalimu wao.
(Kiuwezo wa usanii, mafanikio, au impact kwenye hip hop).
Jay z ana endelea kutema nyongo kwa drake
"Them crackers got your publishing checks, go talk tough to them, don't talk success to me, you niggas is workers, in perpetuity is how your contract is worded"
- hapa jay z ana mkumbusha drake asijitie umwamba kwake, badala yake atumie nguvu hiyo dhidi ya umg ambao wana shikilia publishing right zake (masters).
- ana endelea kumuelimisha drake kwa kusema, aache kumtambia mafanikio kwa kuwa kina drake ni wafanyakazi tu.
- term ya wafanyakazi inakuja hapa kwa kuwa drake huwa ana saini mkataba na label kubwa kubwa, na huwa ni mkataba wa kuachia kazi zake za kisanii.
So ni kama anakuwa ordered afanye kipi na lipi kwa wakati upi, mpaka pale mkataba utakapo Isha.
- perpetuity verse, hapa ni kama ana kejeli tu kuwa mikataba wanayo isaini ni ya milele, na watabaki kuwa watumwa.
Shots at nicki minaj
Jay-Z takes shots at Nicki Minaj and her husband and accuses her of doing drugs:
“That lady back on that stuff, she sounds like she’s in love with em/Her Ken can’t even… pick they kid…..enough of them/A rapper can’t be my opp, I got maga republicans. Those shots came from the very top of the government, good luck with them.”
- Responding to all the shit Nicki has been saying about him and how her husband can't even go to their son's school to pick him up due to being on the registry. Also the MAGA Minaj shit.

- sasa hapa jay z kamjibu kwa kusema jigga kaamka tena, na yuko kwenye kiwango cha 10 Cha ubora.
- ten rating ni kama 100 percent perfection, na drake asi danganywe na chart za muziki, atazame kwa makini tena ataona uhalisia.
Kwakuwa jay z hajawahi kuwatazama ma rapper wengine kama walimu wake, ila hao ma rapper wame wahi kumtazama jay z kama mwalimu wao.
(Kiuwezo wa usanii, mafanikio, au impact kwenye hip hop).
Jay z ana endelea kutema nyongo kwa drake
"Them crackers got your publishing checks, go talk tough to them, don't talk success to me, you niggas is workers, in perpetuity is how your contract is worded"
- hapa jay z ana mkumbusha drake asijitie umwamba kwake, badala yake atumie nguvu hiyo dhidi ya umg ambao wana shikilia publishing right zake (masters).
- ana endelea kumuelimisha drake kwa kusema, aache kumtambia mafanikio kwa kuwa kina drake ni wafanyakazi tu.
- term ya wafanyakazi inakuja hapa kwa kuwa drake huwa ana saini mkataba na label kubwa kubwa, na huwa ni mkataba wa kuachia kazi zake za kisanii.
So ni kama anakuwa ordered afanye kipi na lipi kwa wakati upi, mpaka pale mkataba utakapo Isha.
- perpetuity verse, hapa ni kama ana kejeli tu kuwa mikataba wanayo isaini ni ya milele, na watabaki kuwa watumwa.
Shots at nicki minaj
Jay-Z takes shots at Nicki Minaj and her husband and accuses her of doing drugs:
“That lady back on that stuff, she sounds like she’s in love with em/Her Ken can’t even… pick they kid…..enough of them/A rapper can’t be my opp, I got maga republicans. Those shots came from the very top of the government, good luck with them.”
- Responding to all the shit Nicki has been saying about him and how her husband can't even go to their son's school to pick him up due to being on the registry. Also the MAGA Minaj shit.
- jay z ni kama katengeneza shutuma kuwa nicki minaj karudi kutumia madawa ya kulevya na ni kama ana yapenda.
- lakini pia kazungumzia jinsi ambavyo mume wa nicki minaj hawezi hata kumfata mtoto wao shule, kwakuwa ame sajiliwa kama mtuhumiwa mwenye kesi za jinai.