Jay-Z aachia freestyle yenye onyo kwa Drake na Nicki Minaj, 🔥.

Jay-Z aachia freestyle yenye onyo kwa Drake na Nicki Minaj, 🔥.

Aliwahi kumchana The Game:
Quit playing them childish GAMEs with the grown men /
i don't give a f$ck about cars and chrome rims /
i got apartments you can put your home in.

The Game hakurudia tena kuleta cheche zake.
Dah fire verse with street research, hahaha the game ana penda ma rolls royce
 
mkuu, jay z kupata tuzo ya grammy haiwezi kuwa ni jambo ambalo hata analishupalia kwa sasa mana ameshazichukua sana mkuu. na kwa ushawishi alionao katika industry ya muziki pale USA, haiwezi kuwa ngumu kuipata ikiwa ataitaka. kumbuka story ya didy kuhusu kuwa na maamuzi sana kwenye swala la nani abebe grammy nani asibebe. hata jay z anayo hiyo power kama akiamua aingize influence yake kwenye zile tuzo. mi nadhani anamipango yake tu fulani tusioijua ya kibiashara ndo mana kaamua kuboost attention.
Jay z kweli awaze Grammy huyu jamaa anachekesha hajui kwamba Jay z ndo anaamua nani aimbe hata kwenye Superbowl
 
Niamini mimi huyo rapper hayupo. Kumbuka utabiri wangu kwenye beef ya Kendrick na Drake.

Jay Z ana ku diss ki mtaa na ki corporate pia, ni ngumu sana kumkuta rapper wa kizazi hiki anayeweza kuandika hivyo vitu viwili kwa pamoja, labda Drake atajaribu ku mdiss ki mafanikio lakini atakumbushwa kuwa bado hana hayo mafanikio kumlinganisha na Jigga, Street credibility pia hana.

Hov aachwe yupo ulimwengu mwingine.
Labda ni nani unafikiri anaweza kumjibu aka make sense??
Ye
 
Kumjibu kivipi mbona nick Huwa anamchana sana na Amewahi kumhusisha na Epstein
Kwa kizazi hiki hakuna msanii mwenye uwezo wa kumjibu Jay Z, wataishia kupiga vi subliminal tu. Hov ni level nyingine.
 
Wanajibu vitu visivyo na mashiko wala hoja zenye kuleta upinzani
Mzee wewe unaijua industry ya music ya USA kuliko nick Minaj ,!??

Mimi sio shabiki wa drake na Wala simuelewagi but Kuna madai yanayo muhusu Jigga yanayo tolewa na wasanii wenzake wengi ni ya kweli

Kama inafikia hatua tupo tz huku lakini tuna wabishia wasanii wenzake waliopo USA basi itakuwa sisi tunachekesha

Mfano jaguar write Huwa ana expose mambo mengi sana ya ushetani + umafia kuhusu jigga
 
Muziki ni lugha ya ulimwengu. Yanayondelea ndani ya muziki wanayajua wanamuziki mimi kama shabiki kazi yangu ni kusikiliza na kupata wasaa wa kuburudika/kuelimika kutokana na nilichosikiliza.

Kama ilivyo katika soka na michezo mingine watu huburudika ama hufurahishwa na umaridadi ama ubunifu katika michezo hiyo mpaka kufikia hatua ya kulinganisha wachezaji tofauti tofauti kama messi na ronaldo hivyo hivyo basi ndivyo ilivyo kwa sisi wapenzi wa muziki.

Ninapokueleza kuwa kwa kipimo changu binafsi hakuna Rapper anayeweza kumjibu Jay Z kwa kizazi hiki aka make sense jaribu kuzingatia sababu nilizozibainisha kufikia maamuzi hayo. Haimaanishi nayajua maisha binafsi ya wasanii wala vilivyopo nyuma ya pazia, ila ninazifahamu kazi zao ambazo zinapatikana public na hizo zinanitosha kuwalinganisha.
 
Kwanini anapambana na mwanamke!?
 
Mzee wewe unaijua industry ya music ya USA kuliko nick Minaj ,!??

Mimi sio shabiki wa drake na Wala simuelewagi but Kuna madai yanayo muhusu Jigga yanayo tolewa na wasanii wenzake wengi ni ya kweli

Kama inafikia hatua tupo tz huku lakini tuna wabishia wasanii wenzake waliopo USA basi itakuwa sisi tunachekesha

Mfano jaguar write Huwa ana expose mambo mengi sana ya ushetani + umafia kuhusu jigga
Jaguar ana matatizo ya akili. By the way naye kachanwa vile vile...
" Questlove introduced me to Jaguar, I don't know why I still f@$k with him"
 
Back
Top Bottom