Jay-Z aachia freestyle yenye onyo kwa Drake na Nicki Minaj, 🔥.

Aliwahi kumchana The Game:
Quit playing them childish GAMEs with the grown men /
i don't give a f$ck about cars and chrome rims /
i got apartments you can put your home in.

The Game hakurudia tena kuleta cheche zake.
Dah fire verse with street research, hahaha the game ana penda ma rolls royce
 
Jay z kweli awaze Grammy huyu jamaa anachekesha hajui kwamba Jay z ndo anaamua nani aimbe hata kwenye Superbowl
 
Ye
 
Kumjibu kivipi mbona nick Huwa anamchana sana na Amewahi kumhusisha na Epstein
Kwa kizazi hiki hakuna msanii mwenye uwezo wa kumjibu Jay Z, wataishia kupiga vi subliminal tu. Hov ni level nyingine.
 
Wanajibu vitu visivyo na mashiko wala hoja zenye kuleta upinzani
Mzee wewe unaijua industry ya music ya USA kuliko nick Minaj ,!??

Mimi sio shabiki wa drake na Wala simuelewagi but Kuna madai yanayo muhusu Jigga yanayo tolewa na wasanii wenzake wengi ni ya kweli

Kama inafikia hatua tupo tz huku lakini tuna wabishia wasanii wenzake waliopo USA basi itakuwa sisi tunachekesha

Mfano jaguar write Huwa ana expose mambo mengi sana ya ushetani + umafia kuhusu jigga
 
Muziki ni lugha ya ulimwengu. Yanayondelea ndani ya muziki wanayajua wanamuziki mimi kama shabiki kazi yangu ni kusikiliza na kupata wasaa wa kuburudika/kuelimika kutokana na nilichosikiliza.

Kama ilivyo katika soka na michezo mingine watu huburudika ama hufurahishwa na umaridadi ama ubunifu katika michezo hiyo mpaka kufikia hatua ya kulinganisha wachezaji tofauti tofauti kama messi na ronaldo hivyo hivyo basi ndivyo ilivyo kwa sisi wapenzi wa muziki.

Ninapokueleza kuwa kwa kipimo changu binafsi hakuna Rapper anayeweza kumjibu Jay Z kwa kizazi hiki aka make sense jaribu kuzingatia sababu nilizozibainisha kufikia maamuzi hayo. Haimaanishi nayajua maisha binafsi ya wasanii wala vilivyopo nyuma ya pazia, ila ninazifahamu kazi zao ambazo zinapatikana public na hizo zinanitosha kuwalinganisha.
 
Kwanini anapambana na mwanamke!?
 
Jaguar ana matatizo ya akili. By the way naye kachanwa vile vile...
" Questlove introduced me to Jaguar, I don't know why I still f@$k with him"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…