Joeli
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 4,941
- 3,412
kwa wale wapenzi wa miondoko ya kufoka foka, Mtu mzima Jiga aka Hova amerudi tena na album mpya Magna Carter Holly Grail,
tayari nna nakala yangu ndio nimeanza kusikiliza wimbo baada ya wimbo, kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya album Magna Carta Holy Grail
unaweza nunua kupitia play store