Jay Z is Back again

Jay Z is Back again

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,412
images



kwa wale wapenzi wa miondoko ya kufoka foka, Mtu mzima Jiga aka Hova amerudi tena na album mpya Magna Carter Holly Grail,

tayari nna nakala yangu ndio nimeanza kusikiliza wimbo baada ya wimbo, kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya album Magna Carta Holy Grail

unaweza nunua kupitia play store

jay-z-magna-carta-holy-grail.jpg
 
call him business not businessman,jigga,hova,izzo,shawn carter,all time hustler,king,roca,he is genius,nakumbuka alitoa album akaisi mauzo yatakua ya kawaida,basi akatangaza kuwa his black album na black book vitakua vya mwisho coz anastaafu music,watu waliinunua kwa wingi wakiamin ndio hawatamsikia tena,baadae akarud ktk game up to now,he is genius.
 
On on the best album from Jigga
 
Back
Top Bottom