Nenda Kwenye page yake IG kaiweka mwenyewe Jide ...Usikute jide hajahusika popote ila mtoa mada labda kaiba hizo nyaraka na kuzipost hapa. Think big!
Happy New Year to you too... vipi tena unatoka nduki?!Ndukiii...
Happy New Year 2017 mkuu..
Ule utani siutaki kabisa[emoji31] [emoji31] [emoji24]Happy New Year to you too... vipi tena unatoka nduki?!
aisee kama kweli vileNilishasema kuwa kumpenda mwanamke mzee inahitaji moyo wa reli ya kati
kakumbuka mikuno ya capinet
Hongera Jide kwa kufanya kile moyo unapenda.
ww ulikuwa mshenga wake au mfua chup wake unajuaje kama kamiss mikuno ya captenila kwa miaka 9, amekoma ubishi. ameumiza moyo, adhabu tosha ya kuiba wake za watu. alipora ndoa ya mwenzake akajaribu kuipalilia kwa miaka 9 akaishi kwa machungu na majuto hadi alipoachia. anatapatapa tu na anayemtumia kwa kimuziki.wanawake mjifunze.
Unaonekana kufurahia unapoona moyo wangu ukiendelea kupwita kila leo! Not fair at all....Ule utani siutaki kabisa[emoji31] [emoji31] [emoji24]
Na Vale kwa kuchokonoa mwee...
[emoji107] [emoji107] [emoji107]Unaonekana kufurahia unapoona moyo wangu ukiendelea kupwita kila leo! Not fair at all....
Sina divorce. ...dame divorce Brad Pit na Jolie na wako kimya.....nini hiki mnaweka? Inaonyesha ukomo wa kufikiri ulipofikiaPost devorce yako uone kama kuna mtu atashtuka!Mnatoka povu mtu kupost vikaratasi vyake,muombeni awapost ninyi sasa!
Unazid kujionesha ulivyo finyu,kwani Pit na Jolie ndio kipimo?Kwamba wasichofanya wao sio sahihi?Huo ni uamuzi wa mtu!Mbona watu wanapost certificate zao za ndoa na tunawapongeza?Sina divorce. ...dame divorce Brad Pit na Jolie na wako kimya.....nini hiki mnaweka? Inaonyesha ukomo wa kufikiri ulipofikia
Nani aliyekuambia mabint ni vilaza?Unazidi kuonesha ufinyu wa uelewa wako!Hivi we jamaa unatumia nini kufikiri.... Hata mabinti hapa wamekuzidi akili... Hasara...
Nyani Ngabu weee,pambafuuuuuuHahahaaa...sasa mimi nimemlazimisha nani afanye nitakacho mimi?
Nimemlazimisha wapi?
Na ni nani huyo niliyemlazimisha?