Jaydee afunga mwaka kwa kuonyesha talaka hadharani

Jaydee afunga mwaka kwa kuonyesha talaka hadharani

Kwa Upuuzi huu, gadnar Alikuwa mvumilivu Sana, mambo gani ya kuweka hadharani Haya,
 
Kukaa kimya ni busara sana kwa aliye starabika.busara ni kuheshimu na kujiheshimu.
 
Anataka kuaminisha uma Kuwa Yeye ndio kaacha, ila reality Mwanaume ndio anayetoa talaka
 
Usikute jide hajahusika popote ila mtoa mada labda kaiba hizo nyaraka na kuzipost hapa. Think big!
 
Sasa ndio tunamjua Jide halisi, yaani mwakahuu kashindwa kuficha upumbavu wake kabisa. Unaongeaongea, Gardner akija na bomu moja mnakimbilia mahakamani, naona ushamiss kukojozwa nae
 
Maumivu ya moyo bado yanaendelea,kuna wimbo mwingine utatungwa hivi karibuni.
 
b9dcf3a723695562528f058fc63d2def.jpg

c73cbce8c83c9cccbc819388e74f43f1.jpg

Hongera Jide kwa kufanya kile moyo unapenda.
kakumbuka mikuno ya capinet
 
ila kwa miaka 9, amekoma ubishi. ameumiza moyo, adhabu tosha ya kuiba wake za watu. alipora ndoa ya mwenzake akajaribu kuipalilia kwa miaka 9 akaishi kwa machungu na majuto hadi alipoachia. anatapatapa tu na anayemtumia kwa kimuziki.wanawake mjifunze.
ww ulikuwa mshenga wake au mfua chup wake unajuaje kama kamiss mikuno ya capten
 
Ule utani siutaki kabisa[emoji31] [emoji31] [emoji24]

Na Vale kwa kuchokonoa mwee...
Unaonekana kufurahia unapoona moyo wangu ukiendelea kupwita kila leo! Not fair at all....
 
Post devorce yako uone kama kuna mtu atashtuka!Mnatoka povu mtu kupost vikaratasi vyake,muombeni awapost ninyi sasa!
Sina divorce. ...dame divorce Brad Pit na Jolie na wako kimya.....nini hiki mnaweka? Inaonyesha ukomo wa kufikiri ulipofikia
 
Sina divorce. ...dame divorce Brad Pit na Jolie na wako kimya.....nini hiki mnaweka? Inaonyesha ukomo wa kufikiri ulipofikia
Unazid kujionesha ulivyo finyu,kwani Pit na Jolie ndio kipimo?Kwamba wasichofanya wao sio sahihi?Huo ni uamuzi wa mtu!Mbona watu wanapost certificate zao za ndoa na tunawapongeza?
 
Back
Top Bottom