Pole sana kwa kuumia habar ndiyo kwa wanaume wakware woteNilishasema kuwa kumpenda mwanamke mzee inahitaji moyo wa reli ya kati
Mi nimempandishaKati ya miaka ambayo nimemshusha vyeo jide ni mwaka huuu[emoji35] [emoji35] [emoji35]
Ndio gharama ya kua maarufu,share wewe kama kuna mtu atajali!That thing is very personal....why sharing with the public? Did we engineer their marriage in the first place? Kumuibia mtu mme sio tatizo? Kaazi kweli kweli
Atashughulika na womaniser gadner kwanzaAndika unachotaka ila Mungu achunguzaye mioyo ndo atakushughulikia.
Tutakuona hapa hapa
That is some baby ting for real[emoji23] [emoji23]Yeye jide ndo hajamove on kupost vitu kama hivyo, inaonekana bado anamkumbuka jamaa vinginevyo asingekumbuka kupust hivyo vitu
Ni utoto uliopitiliza anaouonyesha jide, mtu mzima kama yeye ilipaswa aachane na drama hizi.
Do you think that move makes her more superior? Kama ikitokea ndoa mpya ikagoma atarudi tena n.a. vyeti vya talaka? Hujafa hujaumbika. Kuna mambo binadamu kwenye akili timamu hawezi kufanyia shereheNdio gharama ya kua maarufu,share wewe kama kuna mtu atajali!
Sioni tatizo yeye kufanya hivyo!
mambo ya hujafa hujaumbika vinaingiaje hapo.....Do you think that move makes her more superior? Kama ikitokea ndoa mpya ikagoma atarudi tena n.a. vyeti vya talaka? Hujafa hujaumbika. Kuna mambo binadamu kwenye akili timamu hawezi kufanyia sherehe
Hana tapatapa yeye avumilie yapite mambo ya kubusti hayatomsadia yeye wala wengine...hayatuhusu kumbe jide hana akili eeh
Omba radhi ww penzi ni siri hatujui kilichomkuta tukae kimyaMwanaume haachiki bali anamwacha!!
wanawake walioachika kwenye ndoa, wagumba. ma-tasa, walioshindwa familia, wenye homoni za kiume ni mashabiki wakubwa sana wa LADY J DEE.. hili halina ubishi,, kama unabisha saga chupa 12 za bia then meza kwa tindikali..