Jaydee afunga mwaka kwa kuonyesha talaka hadharani

Do you think that move makes her more superior? Kama ikitokea ndoa mpya ikagoma atarudi tena n.a. vyeti vya talaka? Hujafa hujaumbika. Kuna mambo binadamu kwenye akili timamu hawezi kufanyia sherehe
Kwan si iko wazi kuwa ndoa imebuma ya kwanza!Na yeye kaamua kuwaonesha fans wake,wewe inakukera nin?
Ikija ikatokea ndoa nyingine ikabuma,ataweka pia akipenda,life goes on!
Huwezi kuishi maisha yako kwa kumhofia binadamu mwenzako!Ishi upendavyo!
 
Kitu nilichojifunza, mtoto wa kiume usithubutu hata siku moja kuacha kazi yako (hata kama inaingiza ela ndogo kuliko anayoingiza mke wako) kwa ajili ya kuendeleza miradi ya mwanamke. Hamna mistake kubwa ambayo Gardner anajutia kama kuacha kazi na kwenda kuendeleza shughuli za jide, miaka minane yote hajaingiza hata senti, ameondoka yy na begi lake. Ila nampongeza Gardiner kwa kuachana nae bila kudai chochote na kuanza upya. Ila hii ishu kama ingekuwa gardener ndio mwenye ela, alafu jide hana kitu, ungesikia hapa watu wa haki za binadam, TAWLA nk wanaunganika kumtetea, ila kwa kuwa kafanyiwa mwanaume jide anaoneka yy ni mwanamke shupavu, kumbukeni Gardiner pale cloudsfm alikuwa anaplay role nyingi (mtangazaji, Mc ktk shughuli mbalimbali, anafanya matangazo na kuandaa matamasha) akaacha kwenda kumsupport mke wake kama meneja wake, leo hii kaondoka yy na begi lake, jamii inamuona mpumbavu, ila kwangu mm Gardiner ni shujaa. Naamini Gardiner ana mchango mkubwa ktk mali za jide, ila ameamua kujikaza kiume na kuondoka Zake bila kudai hata senti KWELI WANAUME YETU NI MATESO NA MAHANGAIKO.
 
Usiropoke vitu usivyojua!Nani kakwambi kaondoka mikono mitupu?
 
Kwan si iko wazi kuwa ndoa imebuma ya kwanza!Na yeye kaamua kuwaonesha fans wake,wewe inakukera nin?
Ikija ikatokea ndoa nyingine ikabuma,ataweka pia akipenda,life goes on!
Huwezi kuishi maisha yako kwa kumhofia binadamu mwenzako!Ishi upendavyo!
You lose a point. ...nani kasema imenikera? Acha kuongea kama mlevi wa viroba. Fans wake wanataka sanaa yake au mambo yake ya ndoa? Akili za mwendokasi
 
Wanaume hueq
Wanaotokwa mapovu humu Ni wanaume wenzangu haahahha jamani tuvumilie tu, namuunga mkono jide huo ni ujasiri. Na hakumuiba gadner sbb siyo zombie wa kupelekesshwa, he followed his heart at that particular time.[/QUOwanaume huwa hawataki kuachwa! WaVumilieni tu mwenzao kashanyolewa.
 
Wanaume huwa hawataki kuachwa! vumilieni tu mwenzenu kashanyolewa.
 
They gonna have dumb mothafkers like "goals" after my divorce...smfhh... Some ppl just shouldn't get married.
 
Gardner alizidi nae acha yamkute. Kila kitu bure mwenzake akienda mikoani kutafuta yeye anaonesha chaps kitandani kwa Jide. Sijui watu wengine bwana wako vipi? Anachoonesha Jide in nafasi iko wazi tujitokeze akina baba jamaa kabwaga manyanga.Ulevi bwana? Na wanaume kama mabinti.Aibu Gardner.
 
Watu wamefurahi kwa alichopost Jide lkn mkojozaji nae akiamua kujibu mapigo ataonekana mbaya
 
Back
Top Bottom