Kitu nilichojifunza, mtoto wa kiume usithubutu hata siku moja kuacha kazi yako (hata kama inaingiza ela ndogo kuliko anayoingiza mke wako) kwa ajili ya kuendeleza miradi ya mwanamke. Hamna mistake kubwa ambayo Gardner anajutia kama kuacha kazi na kwenda kuendeleza shughuli za jide, miaka minane yote hajaingiza hata senti, ameondoka yy na begi lake. Ila nampongeza Gardiner kwa kuachana nae bila kudai chochote na kuanza upya. Ila hii ishu kama ingekuwa gardener ndio mwenye ela, alafu jide hana kitu, ungesikia hapa watu wa haki za binadam, TAWLA nk wanaunganika kumtetea, ila kwa kuwa kafanyiwa mwanaume jide anaoneka yy ni mwanamke shupavu, kumbukeni Gardiner pale cloudsfm alikuwa anaplay role nyingi (mtangazaji, Mc ktk shughuli mbalimbali, anafanya matangazo na kuandaa matamasha) akaacha kwenda kumsupport mke wake kama meneja wake, leo hii kaondoka yy na begi lake, jamii inamuona mpumbavu, ila kwangu mm Gardiner ni shujaa. Naamini Gardiner ana mchango mkubwa ktk mali za jide, ila ameamua kujikaza kiume na kuondoka Zake bila kudai hata senti KWELI WANAUME YETU NI MATESO NA MAHANGAIKO.