SOCIOLOGISTTZ
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 2,615
- 927
Dah mkuu umetoa points tupu, ukianzisha organization ya ku-counsel na kusuluisha ndoa nadhani utawasaidia sana watanzania wengi ambao wameshakata tamaa kwenye ndoa zao. Big up MkuuKwa muda walioishi pamoja na kuvumiliana.....nini kinafanya waone inatosha? ......miaka zaidi ya tisa kwa wanandoa si jambo dogo.....hawa wanategemeana kwa mengi.....wakubali mapungufu yao.....yale ya kubadilika wabadilike......wavumiliane.....kila jambo baya lina mwisho......nawatakia kila lakheri ....mioyo yao ijitafakari na kujirudi ili maisha yaende mbele......
Gardner bado kijana tu,apambane atapata mali zake,haya mambo ya hurumahuruma hayana nafasi,why apewe?umri alionao ni wa kufanya kazi na anaweza pata mali nyingi zaidi,nadhan hilo litamjengea heshima zaid ya kugaiwa portion,LET IT GOnamshukuru Mungu kwa mwanamke aliyenipa, angenipa kama jide, nisingemtambulisha hata kwa watu. huwa sipati picha gadner akiwa naye ndani inakuwaje. Mungu awasaidie. ila kama kweli gadner aliacha ndoa, arudi kwa mkewe wa ndoa. na jide kama anajua kuwa gadner alichangia chochote kwenye mali alizonazo basi amgawie mwenzie au ampe hata za kuanzia maisha tu.
Lakini kwa mtazamo wa dini ya kikristu hawajaachana,walipumzishana, Jamaa anaweza akalianzisha kudai mkewe,ww unalionaje hilo?Mkewe yupi
Wakati alishaolewa siku nyingi na.mwanaume mwingine anaiahi vzr tu.
Imekula kwake!
Lakini kwa mtazamo wa dini ya kikristu hawajaachana,walipumzishana, Jamaa anaweza akalianzisha kudai mkewe,ww unalionaje hilo?
Nakumbuka ule mgogoro uliripotiwa sana kwenye magazeti ya shigo,ila sikujua mwisho wake,any way kila kitu kina mwisho wake,now waanze mwanzo mpya wa mahusiano,waje JF hapa hawatakosa wenza,kiila siku watu wanasaka wenza hapaHahahaa haaaa
Sio rahisi
Labda km hawakwenda mahakamani wakapeana divorce papers.
Im sure watakuwa waliachana kihalali ili wasisumbuane mbele ya safari.
Halafu huo ukristo ckuhiz imebaki story yu watu wanaachana kila siku mahakamani.
Kwahiyo labda aende church ila huyo mwanamke na mume wake sio mabwege!
Watakuwa wapo kihalali/kisheria
Hahahaaaa....uwiii mbavu zangu Marioo wote tupa kule tulianza na Edzen akifuatiwa na Mbasha tukamalizia na GadnerHuu mwaka ni mbaya kwa Mario.Sasa mtu kama yeye kwenda kuishi kwa ndugu zake atafute ata nyumba apange.
Kwan gadna alikua hatunzi pesa nae kununua gari zake na nyumba zake,lakini hapo lazima wagawanee,ila kama gadna hana kitu jide atakua ni mbinafsii
Lakini kwa mtazamo wa dini ya kikristu hawajaachana,walipumzishana, Jamaa anaweza akalianzisha kudai mkewe,ww unalionaje hilo?
hapa wa kupewa pole ni jide....pesa bila mume ni sawa mboga bila chumvi,
Hivi bado gadna anaishi kwa ndugu zao?
Kwanini sio Gardner amtosa Jaydee
Gardner bado kijana tu,apambane atapata mali zake,haya mambo ya hurumahuruma hayana nafasi,why apewe?umri alionao ni wa kufanya kazi na anaweza pata mali nyingi zaidi,nadhan hilo litamjengea heshima zaid ya kugaiwa portion,LET IT GO
Anaishi guest huyu! Ukimkuta kwny gari anazunguka na mabeg ya nguo!