Jaydee amtosa Gardner

Jaydee amtosa Gardner

Kwa muda walioishi pamoja na kuvumiliana.....nini kinafanya waone inatosha? ......miaka zaidi ya tisa kwa wanandoa si jambo dogo.....hawa wanategemeana kwa mengi.....wakubali mapungufu yao.....yale ya kubadilika wabadilike......wavumiliane.....kila jambo baya lina mwisho......nawatakia kila lakheri ....mioyo yao ijitafakari na kujirudi ili maisha yaende mbele......
Dah mkuu umetoa points tupu, ukianzisha organization ya ku-counsel na kusuluisha ndoa nadhani utawasaidia sana watanzania wengi ambao wameshakata tamaa kwenye ndoa zao. Big up Mkuu

namshukuru Mungu kwa mwanamke aliyenipa, angenipa kama jide, nisingemtambulisha hata kwa watu. huwa sipati picha gadner akiwa naye ndani inakuwaje. Mungu awasaidie. ila kama kweli gadner aliacha ndoa, arudi kwa mkewe wa ndoa. na jide kama anajua kuwa gadner alichangia chochote kwenye mali alizonazo basi amgawie mwenzie au ampe hata za kuanzia maisha tu.
Gardner bado kijana tu,apambane atapata mali zake,haya mambo ya hurumahuruma hayana nafasi,why apewe?umri alionao ni wa kufanya kazi na anaweza pata mali nyingi zaidi,nadhan hilo litamjengea heshima zaid ya kugaiwa portion,LET IT GO
 
Lakini kwa mtazamo wa dini ya kikristu hawajaachana,walipumzishana, Jamaa anaweza akalianzisha kudai mkewe,ww unalionaje hilo?

Hahahaa haaaa
Sio rahisi
Labda km hawakwenda mahakamani wakapeana divorce papers.

Im sure watakuwa waliachana kihalali ili wasisumbuane mbele ya safari.

Halafu huo ukristo ckuhiz imebaki story yu watu wanaachana kila siku mahakamani.
Kwahiyo labda aende church ila huyo mwanamke na mume wake sio mabwege!
Watakuwa wapo kihalali/kisheria
 
Nakumbuka ule mgogoro uliripotiwa sana kwenye magazeti ya shigo,ila sikujua mwisho wake,any way kila kitu kina mwisho wake,now waanze mwanzo mpya wa mahusiano,waje JF hapa hawatakosa wenza,kiila siku watu wanasaka wenza hapa
cc Jide na Caputeni
 
hapa wa kupewa pole ni jide....pesa bila mume ni sawa mboga bila chumvi,
 
hapa wa kupewa pole ni jide....pesa bila mume ni sawa mboga bila chumvi,

Pesa na mume mpuuzi, mzinzi, mlevi kupindukia, mtapanyaji wa mali ni sawa na kaburi lililoezekwa marumaru ndani yake kukiwa na mifupa iliyooza tena inatoa harufu kali!
Mume si suruale na two balls! Ni kiongozi mwenye heshima, utulivu, kiasi, hekima, busara, maarifa na mfano mwema kwa familia!
Jide mwache huyo mvulana akue! Songa mbele mama!
 
Gardner bado kijana tu,apambane atapata mali zake,haya mambo ya hurumahuruma hayana nafasi,why apewe?umri alionao ni wa kufanya kazi na anaweza pata mali nyingi zaidi,nadhan hilo litamjengea heshima zaid ya kugaiwa portion,LET IT GO

Well said! Only a real man can do that! Hawa team kulialia wanaoota zali la mentali sidhani wana uthubutu huo!
Wanapenda mali bila kutokea jasho!
Hata kama anajua mwanamke anazipata kutoka kwa big fish fulani wao mradi halipi kodi, wala kodi ya meza haimhusu, kapewa na gari nzuri ya kuchepukia mtaani baaasi, imetosha!
Shame on marioos!
 
Back
Top Bottom