SOCIOLOGISTTZ
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 2,615
- 927
Dah mkuu umetoa points tupu, ukianzisha organization ya ku-counsel na kusuluisha ndoa nadhani utawasaidia sana watanzania wengi ambao wameshakata tamaa kwenye ndoa zao. Big up MkuuKwa muda walioishi pamoja na kuvumiliana.....nini kinafanya waone inatosha? ......miaka zaidi ya tisa kwa wanandoa si jambo dogo.....hawa wanategemeana kwa mengi.....wakubali mapungufu yao.....yale ya kubadilika wabadilike......wavumiliane.....kila jambo baya lina mwisho......nawatakia kila lakheri ....mioyo yao ijitafakari na kujirudi ili maisha yaende mbele......