hii nini?tusigeuze blog kama sehemu ya kushambuliana ni vema tukaheshimu mawazo ya watu,wasiwasi wangu ugonjwa wa kukosa uzaendo unatutafuna mbona baadhi ya wa tanzania wanazo ndege itakuwaje ashindwe JD?
Mkuu Ngalikihinja.
Uko sawa kabisa...
Labda niwapeni kisa kimoja cha mambo haya, na ni kisa cha ukweli nilichoona mwanzo mwisho...
Kuna jamaa ambaye amekuwa pilot wa siku nyingi sana, na ana rating za ndege kibao...Maisha yake yote ya u'pilot alikuwa anawekeza ili aanzishe kampuni ya ndege, na kweli coming of 2006 jamaa akasaidiwa na wazazi wake ambao wako huko majuu, na wako njema, akaanzisha kampuni iliyojulikana kama SAFARI EXPRESS, akaanza na kukodisha ndege ndogo za abiria 12, lakini baadaye akakodisha ndege 2 nzuri sana aina ya Beechcraft-19 (BE19) na BE20 KUTOKA kwa rafiki zake wa South Africa, zikawa zinapiga tenda za mgodini NORTH-MARA na Sasakwa(Hoteli ya Mmarekani tajiri sana huko Serengeti). ..
Ndani ya mwaka 1 wa kuendesha biashara hiyo, aliangukia pua...! Pamoja na uzoefu mwingi wa ndege aliokuwa nao, madeni yakamzidi...Alikuwa anadaiwa mafuta, hadi jamaa wa Air-BP wakagoma kumpa mafuta kwa utaratibu wa kawaida wa cannet, wakamtaka alipe cash!.. .
MADENI YALIPOMZIDI aliamua kiume:
Aliamua kukimbia nchi hii, na mpaka wa leo hapa naandika hajatokea, wengi wakisema alienda kubadilisha sura ili kuwakwepa wadeni wake...
Aliacha ofisi yake ya quality ya juu ikiwa full-furnished,gari, Hiace custom, Macompyuta kibao, jikoni kukiwa na majiko ya kisasa, mafriji ya kisasa, pamoja na mashine ya bei mbaya ya kutengenezea kahawa(kwa wale wanaojua ma'cappuchino, ma'cafe-late, ma'chocochino etc)...
Waliokuwa wafanyakazi hawakuwa na jinsi zaidi ya kuanza kujisevia kila mtu alivyoweza...Mhasibu alikuwa anacheka, maana aliachwa na account ya kampuni...
Kwahiyo tunaongea vitu hivi kwa kuvifahamu sana, na SI KWA KUMDHARAU MTU!...Nawsilisha!
is there any problem to dream of something?
Lakini wakuu shida iko wapi? kila kitu ni malengo, kwani hao wenye kumiliki ma G500 waliziokota si walinunua? kama wao waliweza kwa nini yeye asiweze? waswahili bwana binti wa watu anajitahidi sana kwa nini msimsifie kwani ndege kitu gani bwana, aah mkatae mkubali huyu binti yuko juu na tunamuombea mafanikio zaidi ya hapo alipofika, Jide kaza buti mama utaweza kununua hata boeing sembuse Dash 8, kila kitu bidii usiwaangalie mahaters
Hakuna lisilowezekana ni mipango mizuri tu na kuamua kutenda wote waliofanikiwa kufanya makubwa hapa DUNIANI waliamua kuyafanyia kazi mawazo yao hata wewe PAKAJIMMY unaweza kununua NDEGE.Asifanye mchezo, huyu, hataweza...Ndege si kama Machozi Band, ambayo unaweza kuiendesha kwa kuwakopa wapigaji..huh!
Lau angejua gharama ambazo ndege inakula asingetamka hilo, labda kwa kujifurahisha tu.
1949 cessna 170a $8,900 0 in n9892a 7595
1950 cessna 170a $35,000 4050 il
1951 cessna 170a $27,500 4228 az
1951 cessna 170a $53,000 3734 ak n1787d 20230
1956 cessna 170a $45,000 3315 ca
1953 cessna 170b $35,000 2794 wa
1956 cessna 172 $36,900 4190 tx n5768a 28368
1956 cessna 172 $24,000 2400 mt n6029a 28629
1956 cessna 172 $30,000 3210 ks n6635a 28735
1957 cessna 172 $26,500 2230 fl n7974b 29774
1958 cessna 172 $29,000 4380 mo
1976 cessna 172 $45,000 1664 ri n236c 17266985
1999 cessna 172 sp $134,900
Sa hapo ndo umeongea kienyeji full.Priceless!!
Kwani kasema anataka kuanzisha kampuni ya usafiri? vile vile hajasema ananunua ndege ya aina gani heck akitaka ka-Cessna 172 ka mwaka 1999 anaweza kukapata ata kwa US$ 100K.
Huyo jamaa yake aliyefirisika alikuwa hajui kuendesha kampuni, kuwa pilot wa muda mrefu haimaanishi utaweza kuendesha kampuni ya ndege kwa ufanisi.
Si huyo tuuu wengine ni hawa wanaomdanganya kuwa anaweza waliomo humu jfalomdanganya jaydee kuwa anaweza kununua ndege ni gadna
OK, nimeona kweli kwa nini mama huyu kasema watu waliosoma wa JF hawatakiwi kujadili upuuzi kama huu; it is too low. Ni sawa kabisa kuchukua chapter kwenye kitabu cha "Mbwa Tomi na Paka Jimi" na kuanza kuijadili hapa.
is there any problem to dream of something?
Broda, is everything alright btn the two of us??OK, nimeona kweli kwa nini mama huyu kasema watu waliosoma wa JF hawatakiwi kujadili upuuzi kama huu; it is too low. Ni sawa kabisa kuchukua chapter kwenye kitabu cha "Mbwa Tomi na Paka Jimi" na kuanza kuijadili hapa.