JAYDEE Apanga kununua ndege (aeroplane)

JAYDEE Apanga kununua ndege (aeroplane)

Speaking of dreams, procedures zinazotakiwa kufuatwa katika kumiliki boti binafsi tanzania ni zipi, na unahitaji kufuata taratibu zipi kila unapoingia Z'bar kutokea Dar/Bagamoyo, kwa sababu nakumbuka PM Mizengo Pinda alisema Z'bar ni mkoa tu.
 
Mkuu Ngalikihinja.

Uko sawa kabisa...

Labda niwapeni kisa kimoja cha mambo haya, na ni kisa cha ukweli nilichoona mwanzo mwisho...

Kuna jamaa ambaye amekuwa pilot wa siku nyingi sana, na ana rating za ndege kibao...Maisha yake yote ya u'pilot alikuwa anawekeza ili aanzishe kampuni ya ndege, na kweli coming of 2006 jamaa akasaidiwa na wazazi wake ambao wako huko majuu, na wako njema, akaanzisha kampuni iliyojulikana kama SAFARI EXPRESS, akaanza na kukodisha ndege ndogo za abiria 12, lakini baadaye akakodisha ndege 2 nzuri sana aina ya Beechcraft-19 (BE19) na BE20 KUTOKA kwa rafiki zake wa South Africa, zikawa zinapiga tenda za mgodini NORTH-MARA na Sasakwa(Hoteli ya Mmarekani tajiri sana huko Serengeti). ..

Ndani ya mwaka 1 wa kuendesha biashara hiyo, aliangukia pua...! Pamoja na uzoefu mwingi wa ndege aliokuwa nao, madeni yakamzidi...Alikuwa anadaiwa mafuta, hadi jamaa wa Air-BP wakagoma kumpa mafuta kwa utaratibu wa kawaida wa cannet, wakamtaka alipe cash!.. .

MADENI YALIPOMZIDI aliamua kiume:
Aliamua kukimbia nchi hii, na mpaka wa leo hapa naandika hajatokea, wengi wakisema alienda kubadilisha sura ili kuwakwepa wadeni wake...
Aliacha ofisi yake ya quality ya juu ikiwa full-furnished,gari, Hiace custom, Macompyuta kibao, jikoni kukiwa na majiko ya kisasa, mafriji ya kisasa, pamoja na mashine ya bei mbaya ya kutengenezea kahawa(kwa wale wanaojua ma'cappuchino, ma'cafe-late, ma'chocochino etc)...

Waliokuwa wafanyakazi hawakuwa na jinsi zaidi ya kuanza kujisevia kila mtu alivyoweza...Mhasibu alikuwa anacheka, maana aliachwa na account ya kampuni...

Kwahiyo tunaongea vitu hivi kwa kuvifahamu sana, na SI KWA KUMDHARAU MTU!...Nawsilisha!

Priceless!!

Kwani kasema anataka kuanzisha kampuni ya usafiri? vile vile hajasema ananunua ndege ya aina gani heck akitaka ka-Cessna 172 ka mwaka 1999 anaweza kukapata ata kwa US$ 100K.

Huyo jamaa yake aliyefirisika alikuwa hajui kuendesha kampuni, kuwa pilot wa muda mrefu haimaanishi utaweza kuendesha kampuni ya ndege kwa ufanisi.
 
Mhh!! Watu naona mmemshupalia kweli kweli mdada wa watu, I think she was just saying for funny.
 
anaweza ila inabidi awe tajiri kama kina nicole kidman , anjelina jolie watu wa class hiyo au zaidi.hata rostam sidhani kama anaweza ku-own ndege kama hiyo
 
ukisoma maandishi yake alikua anataka kutuonyesha kuwa ile ndege ya Barrick iliwabeba yeye na gadna na hao machozi band basss.ndomaana wa TZ hatuendelei kwa kuwaza ujiko rather than creativity.
 
Lakini wakuu shida iko wapi? kila kitu ni malengo, kwani hao wenye kumiliki ma G500 waliziokota si walinunua? kama wao waliweza kwa nini yeye asiweze? waswahili bwana binti wa watu anajitahidi sana kwa nini msimsifie kwani ndege kitu gani bwana, aah mkatae mkubali huyu binti yuko juu na tunamuombea mafanikio zaidi ya hapo alipofika, Jide kaza buti mama utaweza kununua hata boeing sembuse Dash 8, kila kitu bidii usiwaangalie mahaters

Asifanye mchezo, huyu, hataweza...Ndege si kama Machozi Band, ambayo unaweza kuiendesha kwa kuwakopa wapigaji..huh!

Lau angejua gharama ambazo ndege inakula asingetamka hilo, labda kwa kujifurahisha tu.
Hakuna lisilowezekana ni mipango mizuri tu na kuamua kutenda wote waliofanikiwa kufanya makubwa hapa DUNIANI waliamua kuyafanyia kazi mawazo yao hata wewe PAKAJIMMY unaweza kununua NDEGE.
 
1949 cessna 170a $8,900 0 in n9892a 7595




1950 cessna 170a $35,000 4050 il





1951 cessna 170a $27,500 4228 az





1951 cessna 170a $53,000 3734 ak n1787d 20230



1956 cessna 170a $45,000 3315 ca





1953 cessna 170b $35,000 2794 wa





1956 cessna 172 $36,900 4190 tx n5768a 28368



1956 cessna 172 $24,000 2400 mt n6029a 28629



1956 cessna 172 $30,000 3210 ks n6635a 28735



1957 cessna 172 $26,500 2230 fl n7974b 29774



1958 cessna 172 $29,000 4380 mo





1976 cessna 172 $45,000 1664 ri n236c 17266985



1999 cessna 172 sp $134,900


labda hiyo!!
 
Priceless!!

Kwani kasema anataka kuanzisha kampuni ya usafiri? vile vile hajasema ananunua ndege ya aina gani heck akitaka ka-Cessna 172 ka mwaka 1999 anaweza kukapata ata kwa US$ 100K.

Huyo jamaa yake aliyefirisika alikuwa hajui kuendesha kampuni, kuwa pilot wa muda mrefu haimaanishi utaweza kuendesha kampuni ya ndege kwa ufanisi.
Sa hapo ndo umeongea kienyeji full.

Unadhani ni kipi ghali, kuendesha ndege ya private (isiyo na income), na ile ya kibiashara!

Sa ndo nakwambia, regardless ni ndege gani, hata ingekuwa Microlight, kwa mwanamuziki kama yeye inahitaji uchawi kuiendesha, achilia mbali kuinunua!

Iwill tell you why if you insist.
 
alomdanganya jaydee kuwa anaweza kununua ndege ni gadna
 
kati ya wote waloongelea hii issue, pakajimmy nakupa salute
 
OK, nimeona kweli kwa nini mama huyu kasema watu waliosoma wa JF hawatakiwi kujadili upuuzi kama huu; it is too low. Ni sawa kabisa kuchukua chapter kwenye kitabu cha "Mbwa Tomi na Paka Jimi" na kuanza kuijadili hapa.
 
OK, nimeona kweli kwa nini mama huyu kasema watu waliosoma wa JF hawatakiwi kujadili upuuzi kama huu; it is too low. Ni sawa kabisa kuchukua chapter kwenye kitabu cha "Mbwa Tomi na Paka Jimi" na kuanza kuijadili hapa.

Uko right mkuu... inawezekana ni kuboreka tu na maisha ya kisasa tunaishia kumjadili jide
 
is there any problem to dream of something?

Absolutely not. BUT when you put in public domain your dreams, like this one, and you are claimed to be a celebrity, you surely warant a discussion of your 'dream'.

cause I am sure this was discussed here https://www.blogger.com/comment.g?blogID=6077601898511199136&postID=4769227778263855780

You can clearly see there isnt constructive criticism from her fans..and we are constructively criticizing her dreeam here for her own good..no haters!
 
At least ana wish. wengi waliofanikiwa wameanza na azma na mimi ninaamini anaweza kumiliki zaidi ya ndege. Kwani kuna wasanii wengine wish zao ni kuonekana kwenye starehe wakivinjari na vishori wanaishia kuimba afrika nambari one tu with nothing else to show.
MAY GOD GRANT U YOUR WISHES JD
 
OK, nimeona kweli kwa nini mama huyu kasema watu waliosoma wa JF hawatakiwi kujadili upuuzi kama huu; it is too low. Ni sawa kabisa kuchukua chapter kwenye kitabu cha "Mbwa Tomi na Paka Jimi" na kuanza kuijadili hapa.
Broda, is everything alright btn the two of us??
 
Back
Top Bottom