kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
We mdada hizo ni ndoto za alinacha, jk na kabinet yake wameshindwa kuendesha tz airways sembuse ww kajamba nani? Huh .. Utaishia kuzipanda tu tena za masafa mafupi.
Serikali ya CCM imewalemaza na kuwapumbaza akili zenu MUNGU atusaidie vizazi vijavyo visiwe kama hivi.