Jaydee huu ni utoto sana tena sana

Jaydee huu ni utoto sana tena sana

Define 'utoto' na utuambie viashiria vya utoto huanzia wapi na kuishia wapi? Na ni according to who!

Baada ya hapo ndio tutajadili kile alichokifanya jide ni utoto au la.

1414560232572.jpg
 
kuna post yako niliisoma hapo mwanzo na nikawa na utulivu kwani nilikuwa nimepoteza matumaini, ningeependa kukuandikia kwenye inbox lakini sijui mbona ukurasa wakataa
 
Watu kwa kujistukia! Kwani gadner hana kazi? Si mtangazaji? Huyo ni msanii. Whatever kinachomuingizia hela.acha akitumie. Nyie ndo mna nongwa sasa. Ama diamond ule wimbo 'now show how we do ngololo' alikuwa anamfumbia penny kuwa hajui kuniniliu?
Uswahili mzigo.

Ni uswahili wa hali ya juu, waache watape tape, mwenzao ndiyo hvyo anazidi kuwa juu, mimi hata sijaona mantiki, kwani huo wimbo wa YAHAYA kautoa baada ya kuachana na gadner? Tutoleeni uswahili apa
 
Au Kongosho hajapiga mswaki ndo maana anaogopa kuongea.

Hahaha nimekumisije? bila appointment ya mishkaki weye hatujaonana. hebu jipange umuachie mangi duka uje tuonane bwana
ehehehehe!
hapo tu ndo unaponichenganyaga omutima wange!
kunywa novida nakuja kulipa!
yan ncvae kanga imeandikwa nunu nunu wamnunia nani kisa Kongosho hajanisalimia jana?labda anaumwa jino hawezi kufungua mdomo!
aaaargh!
 
Last edited by a moderator:
Naamini wengi wamesikia tangazo jipya la mgahawa wa Jaydee unaokwenda kwa jina jipya la MOG na kikolombwezo cha LIFE IS TOUGH na mwishowe anamalizia na YAHAYA UNAISHI WAPIII
Wenye kujua mafumbo wanajua anamaanisha nini!!! Jaydee ni mtu wa nongwa sana na anapenda visasi kapitiliza, ukigombana naye hakuachi mpaka akutungie wimbo wa vijembe kafanya hivyo kwa wengi tu wakiwemo Ruge, Mwana FA, na sasa vijembe vyote ni kwa mtalaka wake, sio kwenye mitandao kwenye vyombo vya habari na sasa kwenye matangazo yake

Mkiwa wanandoa hakuna mmoja anaweza kujvunia mafanikio bila ya mwenza wako, hata ile tu kuhisi kuwa nyumbani nina mke au mume ananisubiri hata kama hana kazi inakupa nguvu ya kufanya kazi kwa utulivu na amani

Huyu mtalaka wake alikuwa ni mme wa mtu mwenye ndoa halali na mtoto juu, kwa kutumia influence yake wakati huo ya vijisenti na umaarufu akampoka asiye nguvu mume....akumbuke mtenda hutendwa.....

Aukubali ukweli, we are living in the world of impermanence...! Nothing last forever, yeye si wa kwanza kusuffer broken heart na hatakuwa wa mwisho... It happens always and ever... Na katika maisha huwezi kupata kila kitu ni ukweli mchungu! Vijembe na mafumbo havitabadili ukweli wala kumpunguzia maumivu
ATULIEEEE....! BINTI NYAMBIBO

Ah mm ht nilikuwa cjui kama wameachana but walikaa pmj long time tena kwa kuheshimiana kama majungu tena co sawa
 
Heee Mdakuzi vipi nitegemee misifa kwani kuna zawadi hapa jamvini? Siwezi kuwakilisha mawazo ya mtu mwingine ni yangu binafsi na majungu yako wapi hapo au huelewi nini maana ya majungu? Siwezi kupost kitu nikategemea kimfurahishe au kimkere kila mtu huo ni ujuha....jide ana die fans wake na wapo hata hapa na wamechangia mada kwa mtazamo wao
Kinachonichekesha hapa lakini hakinishangazi ni mswahili anapojifanya mzungu or whatever, siogopi kuandika kitu eti tu nikiandika hivi nitaonekana 'mswahili' katu sitakaa nifanye hivyo sikuumbwa hivyo...nilichoandika ndivyo kilivyo kilishaandikwa na kusemwa sana kabla
Ni shida sana mtu anapojikataa, na kujipa nafasi ambayo hastahili nimeandika mtazamo wangu silazimishi kila mtu akubaliane nami kila mtu anachangia kwa jinsi alivyoelewa siwezi kugombana na yeyote what for afterall....!!!?

Hakuna lolote, huu uliotuletea ni upuuzi. Unataka kuilisha akili yetu haya mawazo mgando halafu unataka tusikuambie!
Ova
 
Last edited by a moderator:
kweli we zimwimtu hata huelewi kinachoendelea..wala hujui hapa ni wapi upo upo tu
ha ha ha ha...., mie nilikomenti ikiwa katika MMU, inawezekana imehamisha tayari kwa kuzingatia ushauri wangu.
 
Heee Mdakuzi vipi nitegemee misifa kwani kuna zawadi hapa jamvini? Siwezi kuwakilisha mawazo ya mtu mwingine ni yangu binafsi na majungu yako wapi hapo au huelewi nini maana ya majungu? Siwezi kupost kitu nikategemea kimfurahishe au kimkere kila mtu huo ni ujuha....jide ana die fans wake na wapo hata hapa na wamechangia mada kwa mtazamo wao
Kinachonichekesha hapa lakini hakinishangazi ni mswahili anapojifanya mzungu or whatever, siogopi kuandika kitu eti tu nikiandika hivi nitaonekana 'mswahili' katu sitakaa nifanye hivyo sikuumbwa hivyo...nilichoandika ndivyo kilivyo kilishaandikwa na kusemwa sana kabla
Ni shida sana mtu anapojikataa, na kujipa nafasi ambayo hastahili nimeandika mtazamo wangu silazimishi kila mtu akubaliane nami kila mtu anachangia kwa jinsi alivyoelewa siwezi kugombana na yeyote what for afterall....!!!?

Sasa kama unajua kila mtu atachangia lake unalialia nn sasa????? Hahahaaaaa
 
Last edited by a moderator:

Wazaramo utawajua tu yaani wanatumia nguvu nyingi kutafuta tafsiri ya vitu ambavyo pengine hata havimaanishi hivyo.

Ni sawa wale jamaa zangu wakimuona mtu ana macho mekundu ni MCHAWI halafu wanaua!
 
Back
Top Bottom