Watu kwa kujistukia! Kwani gadner hana kazi? Si mtangazaji? Huyo ni msanii. Whatever kinachomuingizia hela.acha akitumie. Nyie ndo mna nongwa sasa. Ama diamond ule wimbo 'now show how we do ngololo' alikuwa anamfumbia penny kuwa hajui kuniniliu?
Uswahili mzigo.
peleka jukwaa la maseleb
ehehehehe!
hapo tu ndo unaponichenganyaga omutima wange!
kunywa novida nakuja kulipa!
yan ncvae kanga imeandikwa nunu nunu wamnunia nani kisa Kongosho hajanisalimia jana?labda anaumwa jino hawezi kufungua mdomo!
aaaargh!
Naamini wengi wamesikia tangazo jipya la mgahawa wa Jaydee unaokwenda kwa jina jipya la MOG na kikolombwezo cha LIFE IS TOUGH na mwishowe anamalizia na YAHAYA UNAISHI WAPIII
Wenye kujua mafumbo wanajua anamaanisha nini!!! Jaydee ni mtu wa nongwa sana na anapenda visasi kapitiliza, ukigombana naye hakuachi mpaka akutungie wimbo wa vijembe kafanya hivyo kwa wengi tu wakiwemo Ruge, Mwana FA, na sasa vijembe vyote ni kwa mtalaka wake, sio kwenye mitandao kwenye vyombo vya habari na sasa kwenye matangazo yake
Mkiwa wanandoa hakuna mmoja anaweza kujvunia mafanikio bila ya mwenza wako, hata ile tu kuhisi kuwa nyumbani nina mke au mume ananisubiri hata kama hana kazi inakupa nguvu ya kufanya kazi kwa utulivu na amani
Huyu mtalaka wake alikuwa ni mme wa mtu mwenye ndoa halali na mtoto juu, kwa kutumia influence yake wakati huo ya vijisenti na umaarufu akampoka asiye nguvu mume....akumbuke mtenda hutendwa.....
Aukubali ukweli, we are living in the world of impermanence...! Nothing last forever, yeye si wa kwanza kusuffer broken heart na hatakuwa wa mwisho... It happens always and ever... Na katika maisha huwezi kupata kila kitu ni ukweli mchungu! Vijembe na mafumbo havitabadili ukweli wala kumpunguzia maumivu
ATULIEEEE....! BINTI NYAMBIBO
Heee Mdakuzi vipi nitegemee misifa kwani kuna zawadi hapa jamvini? Siwezi kuwakilisha mawazo ya mtu mwingine ni yangu binafsi na majungu yako wapi hapo au huelewi nini maana ya majungu? Siwezi kupost kitu nikategemea kimfurahishe au kimkere kila mtu huo ni ujuha....jide ana die fans wake na wapo hata hapa na wamechangia mada kwa mtazamo wao
Kinachonichekesha hapa lakini hakinishangazi ni mswahili anapojifanya mzungu or whatever, siogopi kuandika kitu eti tu nikiandika hivi nitaonekana 'mswahili' katu sitakaa nifanye hivyo sikuumbwa hivyo...nilichoandika ndivyo kilivyo kilishaandikwa na kusemwa sana kabla
Ni shida sana mtu anapojikataa, na kujipa nafasi ambayo hastahili nimeandika mtazamo wangu silazimishi kila mtu akubaliane nami kila mtu anachangia kwa jinsi alivyoelewa siwezi kugombana na yeyote what for afterall....!!!?
ha ha ha ha...., mie nilikomenti ikiwa katika MMU, inawezekana imehamisha tayari kwa kuzingatia ushauri wangu.kweli we zimwimtu hata huelewi kinachoendelea..wala hujui hapa ni wapi upo upo tu
Heee Mdakuzi vipi nitegemee misifa kwani kuna zawadi hapa jamvini? Siwezi kuwakilisha mawazo ya mtu mwingine ni yangu binafsi na majungu yako wapi hapo au huelewi nini maana ya majungu? Siwezi kupost kitu nikategemea kimfurahishe au kimkere kila mtu huo ni ujuha....jide ana die fans wake na wapo hata hapa na wamechangia mada kwa mtazamo wao
Kinachonichekesha hapa lakini hakinishangazi ni mswahili anapojifanya mzungu or whatever, siogopi kuandika kitu eti tu nikiandika hivi nitaonekana 'mswahili' katu sitakaa nifanye hivyo sikuumbwa hivyo...nilichoandika ndivyo kilivyo kilishaandikwa na kusemwa sana kabla
Ni shida sana mtu anapojikataa, na kujipa nafasi ambayo hastahili nimeandika mtazamo wangu silazimishi kila mtu akubaliane nami kila mtu anachangia kwa jinsi alivyoelewa siwezi kugombana na yeyote what for afterall....!!!?
Ni sawa wale jamaa zangu wakimuona mtu ana macho mekundu ni MCHAWI halafu wanaua!
Wazaramo utawajua tu yaani wanatumia nguvu nyingi kutafuta tafsiri ya vitu ambavyo pengine hata havimaanishi hivyo.