Jaydee huu ni utoto sana tena sana

Haaa! hivi wameachana? inamaana yule mwenye ndoa yake alipigania haki yake? kweli nimeamini haki ya mtu haidhulumiwi ila hucheleweshwa tu

Yupi mkuu!
Mbona alishaolewa ana maisha yake safi
 
Jd amekosa hulka ya kike
mbabe na dikt
 

Na hapo ndipo tulipobarikiwa as hatubebi mizigo yetu wenyewe..tunashare matatizo yetu na watu, tunapunguza stress.. tuna live long..kwiiiiiii
 

Pooo...

By the way, hivi wewe Kiranga ni nshomile?
 
Last edited by a moderator:
huyu mdada ana stress na nongwa. akitulia nina uhakika hata mimba itatunga tu

Are you psychotherapist? ni nadra sana kupata maoni yaliyoshiba kama hili hapa, ubarikiwe sana!
 
Nimesikiliza vyema lile tangazo nimegundua wewe ni mtaalamu wa kuongeza chumvi!
 
Nimesikiliza vyema lile tangazo nimegundua wewe ni mtaalamu wa kuongeza chumvi!

Nilichoandika ni mtazamo wangu ambao baada ya kusoma imebidi uende kusikiliza lile tangazo kwa makini nakupongeza kwakuwa at least umelisikiliza na kuja na mchango kama huu
 
Vp Mdakuzi kwa kuandika hivi kama imekupa faraja haya chapa lapa utambae, sijakulazimisha kusoma post zangu maku wewe

Duh kweli keybord ina raha yake.
Yaani na utu uzima wote huo unatukana tusi kama hilo kweli?? Au hiyo picha ni gelesha tu?
 
Last edited by a moderator:
Duh kweli keybord ina raha yake.
Yaani na utu uzima wote huo unatukana tusi kama hilo kweli?? Au hiyo picha ni gelesha tu?

Nachukua nafasi hii kuomba radhi sikustahili kuandika hilo neno, nilikereka na hekima uvumilivu vikanitoka....! Inaweza kumtokea yeyote...!!!! Hiyo ni picha yangu halisi
 
No, just vivaciously voluble and vigorously vanquishing via a veneer of vitriolic vituperative verisimilitude.

kihamba lohi no njida mataeni.. aka korehia kikodu nkiki ngoe????

irikira wasungu woo
 
‘usiusemee moyo' by JD,naona mshana umeamua kuusemea moyo
 
Na hapo ndipo tulipobarikiwa as hatubebi mizigo yetu wenyewe..tunashare matatizo yetu na watu, tunapunguza stress.. tuna live long..kwiiiiiii

Lakini huwezi badili situation kwa kutumia hiyo strategy...matatizo ya nyumbani unaenda kulalamika ofisini, ya ofisini unapeleka nyumbani...

Do something to change it or get the heck out. na njia pekee ni kuwa face wahusika na si kulalamika pembeni awe mume au boss wako wote ni kuwa na courage ya kuwa face....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…