AL-bajouny
Member
- Apr 7, 2014
- 37
- 8
- Thread starter
- #21
Utafiti waeleweshe hawaijui Pemba wakuulize ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina uhakika kama Pemba mnaijua vizuri. Hebu niulizeni kwanza
Waliendesha biashara mbalimbali Wa kwanza kulia ni Muhammed bin alikua bukoba .Wa pili Hamad bin Humid alikua shinyanga.Muhammed bin Abdullah alikua singida aneafata Ali bin Said dar es salam mW engine ni Salim Muhammad mwanza Hui no dalili tosha kua visiwani Zanzibar nikimaanaisha unguja na Pemba walipata nguvu name uwerevu zamani had I kufikia kushikialia baazi ya maeneo ya Tanganyika had I pale nyerere alipo taka kukutana nao 1961 km inavoonekana pichani
Karibuni ndugu hicho ni kidokezo Bali tutaendea kujua nini Pemba na ninani wapemba