Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Tusker Bariiiidi,Namfahamu kama Mmiliki wa CHICKEN HUT (MLIMANI CITY) kuanzia mwaka 2008, katika mazungumzo yetu alikuwa akijifagilia kama yeye ana pesa na yupo karibu sana na familia ya kwanza Tanzania, akidai anajenga Beach Hotel Bagamoyo, Hotel/Restaurant nyingine pale Africana.
SIKUAMINI SANA KWANI NILIONA NI SOUND TU! Baada ya kufunguliwa kwa QUALITY CENTRE! YAMETIMIA! Ana Restaurant/Ukumbi wa Disco (Savannah) Maduka makubwa matatu achilia mbali JB BELMONT iliyopo BW. Mkapa Towers.
Ninachompendea yupo down to earth!
Mzee Mwanakijiji,Tusker Bariiiidi,
I think ndiye huyu tulikuwa tunampigia story; unafahamu JB inasimama badala ya nini?
Mzee mwnakijiji siku hizi mapolisi ndio wanatoa permit na kila mwezi lazima wakachukue mishahara kwa wahusika mfano huko kwenye maviwanda kuna michina na wahindi wamejificha humo lakini cha kushangaza polisiccm wakiingia humo wanatoka wakiwa wanacheka Huku mifuko imetuna. Labda JB ni Kati ya watunisha mifuko ya polisiccm
CottonEyeJoe,Mr Justus Baguma, a Ugandan entrepreneur in Tanzania, owns the JB Belmont, Savannah and some shops at Quality Centre and has also been elected the chairman of the Ugandan Community in Tanzania.
He is a self-proclaimed self made man and attributes his success to hard work... Whether "hard work" means "trouble for Tanzania" I don't know....
Naomba nitofautiane na wewe, huyu ni MWEKEZAJI!
Ametoa ajira lukuki kwa wa~Tanzania tofauti na hao Wafanyakazi wa kigeni WACHINA/WAHINDI/WAPAKISTAN etc. zaidi ya 10,000 wanaokaa na kufanya kazi zinazoweza kufanywa na Wa-Tanzania!
Mkuu ndio maana nikasema labda kwasababu nilikuwa simjui kabisa mmiliki wa hiyo hotel na maduka ya JBNaomba nitofautiane na wewe, huyu ni MWEKEZAJI!
Ametoa ajira lukuki kwa wa~Tanzania tofauti na hao Wafanyakazi wa kigeni WACHINA/WAHINDI/WAPAKISTAN etc. zaidi ya 10,000 wanaokaa na kufanya kazi zinazoweza kufanywa na Wa-Tanzania!
kumiliki siyo tatizo. Anamiliki kwa namna gani ndiyo la kujadiliKampala International University mmiliki ni nani? kuna Mdau aliniambia kuwa kuna Mkono wa Khadafi?
Tusker Bariiiidi kwahiyo unataka kutuhakikishia kwamba Justus Baguma anaishi na kufanya biashara nchini kihalali? Hafanyi magumashi kama wanavyofanya wengine?
Tusker Bariiiidi,Kampala International University mmiliki ni nani? kuna Mdau aliniambia kuwa kuna Mkono wa Khadafi?
JB ni janga kwa taifa hili....mpeni muda kidogo tu you will prove this..... mbali na hayo mambo ya down to earth ni mzinzi sana na anaharibu sana mabinti pale Quality Centre
Mkuu JB inaelekea anakwepa kodi Kama baadhi ya wahindiJB ni janga kwa taifa hili....mpeni muda kidogo tu you will prove this..... mbali na hayo mambo ya down to earth ni mzinzi sana na anaharibu sana mabinti pale Quality Centre
KIU is owned by Hassan Basajja Balaba a succesuful enterprenur in Uganda.
Tusker Bariiiidi,Hapa nilikuwa namtofautisha JB na wale Wafanyakazi lukuki waliopo nchini kinyume cha sheria!
Kuhusu Magumashi sina uhakika ila ukiangalia kasi ya kumiliki Chain stores na ile hotel iliyokuwa Paradise... lazima kutakuwa na namna!
KIU is owned by Hassan Basajja Balaba a succesuful enterprenur in Uganda.