Anheuser
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 1,944
- 662
Mchaga akianzisha maduka anaitwa mfanyabiashara, Mganda akianzisha maduka anaitwa Muwekezaji. Hata Mganda? Jitu limechumia mali humu humu kwetu tunaliita muwekezaji.huyu ni MWEKEZAJI!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchaga akianzisha maduka anaitwa mfanyabiashara, Mganda akianzisha maduka anaitwa Muwekezaji. Hata Mganda? Jitu limechumia mali humu humu kwetu tunaliita muwekezaji.huyu ni MWEKEZAJI!
CottonEyeJoe,
Kampala International University mmiliki ni nani? kuna Mdau aliniambia kuwa kuna Mkono wa Khadafi?
JB ni janga kwa taifa hili....mpeni muda kidogo tu you will prove this..... mbali na hayo mambo ya down to earth ni mzinzi sana na anaharibu sana mabinti pale Quality Centre
Sasa hilo la kabinti linahusiana nn na national Interest?JB ni janga kwa taifa hili....mpeni muda kidogo tu you will prove this..... mbali na hayo mambo ya down to earth ni mzinzi sana na anaharibu sana mabinti pale Quality Centre
Wanatoa na masters pia mkuuHicho chuo kimejaa watumishi hasa wahadhiri waganda ambao professional qualification zao ni questionable.
Sielewi TCU waliwezaje kuwapa ithibati ya kufanya kazi ya kutoa elimu kwa kiwango cha degree bila kuangalia viwango vya elimu vya wahadhiri.
Pia kuna taarifa za wafanyakazi wazawa kubaguliwa na kunyanyaswa na hao waganda wa KIU.