JB: Mganda huyu ni nani na anafanya nini Tanzania?

JB: Mganda huyu ni nani na anafanya nini Tanzania?

mbonna huyu mtu ni mtu mzuri ti ingawa alikuwa ni mwana jeshi uko uganda akakosana na mseveni akabwaga akaenda uingereza na badaye akarudi hapa tz akuweza kurudi uganda na ameoa mtanzania dada mmoja wa kihaya wanaishi tegeta wako vizuri kifedha ni tajiri sana

na wewe ni mmoja wa wanaokula upenuni kwake na kuusifia uzuri wake?
 
Mzee mwnakijiji siku hizi mapolisi ndio wanatoa permit na kila mwezi lazima wakachukue mishahara kwa wahusika mfano huko kwenye maviwanda kuna michina na wahindi wamejificha humo lakini cha kushangaza polisiccm wakiingia humo wanatoka wakiwa wanacheka Huku mifuko imetuna. Labda JB ni Kati ya watunisha mifuko ya polisiccm

we unazan watakula wap wakat mshahara kwa mwez anapokea dola 200
 
tunahangaikia micro issues... huyo jamaa ana finger prints zake zaidi ya mabara mawili...
 
Kule facebook,Adolf Mkono kaandika hivi......"DEATH ANNOUNCEMENT:Th -e chairman AUCT ,Mr Justus Baguma has passed away this morning(13.02.2 -013).The body is in Muhimbili Hospital,please - lets meet at UCHUMI HOUSE from 4pm this evening.R.I.P mr JB Belmonte
 
Kuna jina limekuwa likirushwa rushwa kwenye mazungumzo juu ya raia mmoja wa Kiganda ambaye anakwenda kwa kutumia initials za "JB". Does anybody know who he is and what has he been doing in Tanzania na kama in anyway shape or form anaweza kuwa ni tatizo kwa Tanzania?

ndo huyu aliyefariki leo mchana?
 
Kwa kuwa mtajwa ameshatangulia mbele za haki, Mwanakijiji hebu hitimisha makala yako ili roho yake ipumzike inakostahili
 
Nimesikia Clouds FM jamaa kavuta na Msiba Upo Quality Centre si mchezo Maelezo zaidi ya Mazishi hadi atakapowasiri mke wake... SI Mchezo Mwenyezi Mungu Aiweke Roho ya Marehemu Pahali panapostahili
 
Kule facebook,Adolf Mkono kaandika hivi......"DEATH ANNOUNCEMENT:Th -e chairman AUCT ,Mr Justus Baguma has passed away this mornin(13.02.2 -013).gThe body is in Muhimbili Hospital,please - lets meet at UCHUMI HOUSE from 4pm this evening.R.I.P mr JB Belmonte

Kwenye red: anakufa kesho?!!!
 
  • Thanks
Reactions: 911
Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahala Pema Peponi,ni katika wachache waliotoka nchi za jirani na kuwekeza TZ na ametupa changamoto ktk uwekezaji kama watu weusi kwamba tunaweza,,mfano wake ni wa kuigwa,cna mimi ni mmoja wao wanaofata nyayo zake na kuzisimamia,ntasimama imara kuwa mwekezaji mzawa..RIP Bro JB

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahala Pema Peponi,ni katika wachache waliotoka nchi za jirani na kuwekeza TZ na ametupa changamoto ktk uwekezaji kama watu weusi kwamba tunaweza,,mfano wake ni wa kuigwa,cna mimi ni mmoja wao wanaofata nyayo zake na kuzisimamia,ntasimama imara kuwa mwekezaji mzawa..RIP Bro JB

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
ni kweli tungefaidi sana hapa nchini
 
Ulisikiaje kuhusu JB tudadavulie kidogo....Mimi Ndo kwanza nalisikia kwako
 
Haya amekufa sasa . Ukweli uwekwe hadharani ili watu wajue.
 
Back
Top Bottom