The last don
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 1,053
- 1,232
Unadhani hawafahamu kama ilikuwa ni shule ya sekondary iliyokuwa ikimilikiwa na Mama Anna Mkapa?TCU wataiweza KIU ikiwa tu watafahamu ile ardhi waliyojenga KIU ni ya nani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani hawafahamu kama ilikuwa ni shule ya sekondary iliyokuwa ikimilikiwa na Mama Anna Mkapa?TCU wataiweza KIU ikiwa tu watafahamu ile ardhi waliyojenga KIU ni ya nani
Naona wanapiga 'ikulu'... Punguza povu, au na wewe 'unanufaika' kwa namna fulani? Acha watu wajadili, kama mtu anaambukiza ukimwi tusiseme? Mbona mkulu tunamsemaga sana humu, juu ya tabia yake ya 'kuoa usiku-asubuhi anaacha'....
kuwa waongo kwa wabongo inatokana na wabongo wengi kuwa wavivu wa kufanya kazi ivyo wanakuwa waongo waweze kula
kutokwa povu ndio nini?Sorry dude,not all of us entertain misemo isiyo na maana,I mean sio wote tulikulia vichochoroni.Simjui JB na wala sikuwahi kumsikia kabla lakini bahati nzuri nimefika mpakani mwa Tanzania na Uganda na kujionea tofauti ya wafanyakazi na sisi watu wa porojo.kwa mtu yeyote aliyefika mpaka wa Mutukula atakuambia tofauti ya kimaendeleo iliyopo katika upande wa kwetu na ule wa wenzetu wa Uganda.Binafsi roho iliniuma sana pale Mtanzania mwenzangu aliponiomba hela ya Uganda badala ya kitanzania tena katika ardhi ya Tanzania anapofanyia biashara yake ya mgahawa,do you know why?Ni kwamba vitu vingi wananunua sehemu ya Uganda kwa sababu Sehemu ya Tanzania hamna kitu,ni vibanda viwili vitatu tu.Huu ndio ujinga wetu unao nitoa povu.Na hali kama hii inajirudia katika mipaka yetu mingine.Tumelala then wakija wageni wachapakazi tunaanza kuropoka bila sababu za msingi.
Nimepita mwaka jana,uongo wangu uko wapi?Huwezi kulinganisha upande wa Tanzania na ule wa Uganda.Upande wa Uganda pamoja na kwamba kwa kipindi kirefu ulikuwa hauna umeme lakini bado maduka,hoteli,migahawa na hata benki viliendelea kujengwa.Miaka kumi ya wapi ?Kama private commercial bank inaweza kufungua tawi lake upande wa Uganda wakati the same bank imeona haina haja kufungua tawi hata Bukoba mjini,yaani bado tu hupati picha ya tofauti kwenye suala la kimaendeleo...Acha uongo. Hiyo ilikuwa mwaka gani? naanza kuhisi wewe ni muongo.
Upande wa Tanzania serikali iliwafukuza wakazi wote waliokuwa wanafanya biashara mpakani miaka mingi tu imepita sasa ni kibanda gani unachosema? Kumbe unazungumzia habari za miaka 10 iliyopita?
Vibanda vya kibiashara viko upande wa uganda tu.
Anazungumzia hizo ajira 4 au zenyewe si ajira?Wewe ulitaka aajiri watu wanaoshinda wakipiga simu za mambo yao binafsi badala ya kufanya kazi wakati yeye anafanya biashara.Kama elimu ya waganda ni questionable,je ya hao wakwetu itakuwaje?walimu karibu wote ni waganda watanzania ni 4 ajira gani unayozungumzia ? Kusafisha vyoo na
Mzee Mwanakijiji.
Mbona Wazungu matajiri wa Tanzania utaki kufahamu habari zao wewe na weusi tu.
Mbona hujauliza yule Mzungu mmiliki wa Hoteli ya Sleep Way, ni nani na anafanya nini Tanzania.
Kuna jina limekuwa likirushwa rushwa kwenye mazungumzo juu ya raia mmoja wa Kiganda ambaye anakwenda kwa kutumia initials za "JB". Does anybody know who he is and what has he been doing in Tanzania na kama in anyway shape or form anaweza kuwa ni tatizo kwa Tanzania?
Ninachokijua kuhusu huyu bwana ni kwamba alipokuja Tanzania kufanya biashara, alitambulishwa kwa JK na Mseveni na baadaye akatambulishwa kwa mmiliki wa Paradise hotels. Akapata mkopo na kuanza ku-operate baa kwenye hoteli za paradise. Mwaka jana umoja wa mataifa na serikali ya Marekani walianza kufuatilia assets za mmiliki wa Paradise Hotel kutokana na tuhuma kuwa alikuwa anafadhili mtandao wa maharamia. Jamaa akapata wasiwasi kuwa assets zake zingechukuliwa kwahiyo Paradise City Hotel ikabadilishwa jina ghafla kuitwa JB Belimonte.Kuna jina limekuwa likirushwa rushwa kwenye mazungumzo juu ya raia mmoja wa Kiganda ambaye anakwenda kwa kutumia initials za "JB". Does anybody know who he is and what has he been doing in Tanzania na kama in anyway shape or form anaweza kuwa ni tatizo kwa Tanzania?
Ninachokijua kuhusu huyu bwana
ni kwamba alipokuja Tanzania kufanya biashara, alitambulishwa kwa JK na
Mseveni na baadaye akatambulishwa kwa mmiliki wa Paradise hotels.
Akapata mkopo na kuanza ku-operate baa kwenye hoteli za paradise. Mwaka
jana umoja wa mataifa na serikali ya Marekani walianza kufuatilia assets
za mmiliki wa Paradise Hotel kutokana na tuhuma kuwa alikuwa anafadhili
mtandao wa maharamia. Jamaa akapata wasiwasi kuwa assets zake
zingechukuliwa kwahiyo Paradise City Hotel ikabadilishwa jina ghafla
kuitwa JB Belimonte.
hapa nilikuwa namtofautisha jb na wale wafanyakazi lukuki waliopo nchini kinyume cha sheria!
Kuhusu magumashi sina uhakika ila ukiangalia kasi ya kumiliki chain stores na ile hotel iliyokuwa paradise... Lazima kutakuwa na namna!
Nimepita mwaka jana,uongo wangu uko wapi?Huwezi kulinganisha upande wa Tanzania na ule wa Uganda.Upande wa Uganda pamoja na kwamba kwa kipindi kirefu ulikuwa hauna umeme lakini bado maduka,hoteli,migahawa na hata benki viliendelea kujengwa.Miaka kumi ya wapi ?Kama private commercial bank inaweza kufungua tawi lake upande wa Uganda wakati the same bank imeona haina haja kufungua tawi hata Bukoba mjini,yaani bado tu hupati picha ya tofauti kwenye suala la kimaendeleo...
Si mpaka wa Mtukula tu,jaribu kwenda Sirari au Namanga ujionee tofauti ya uchangamfu kibiashara katika upande wetu na upande wa majirani zetu...Unapoona benki upande wa mwenzako halafu kwako hakuna sijui unapata picha gani kibiashara?Au unao ni uongo?
Ninachokijua kuhusu huyu bwana ni kwamba alipokuja Tanzania kufanya biashara, alitambulishwa kwa JK na Mseveni na baadaye akatambulishwa kwa mmiliki wa Paradise hotels. Akapata mkopo na kuanza ku-operate baa kwenye hoteli za paradise. Mwaka jana umoja wa mataifa na serikali ya Marekani walianza kufuatilia assets za mmiliki wa Paradise Hotel kutokana na tuhuma kuwa alikuwa anafadhili mtandao wa maharamia. Jamaa akapata wasiwasi kuwa assets zake zingechukuliwa kwahiyo Paradise City Hotel ikabadilishwa jina ghafla kuitwa JB Belimonte.
CottonEyeJoe,
Kampala International University mmiliki ni nani? kuna Mdau aliniambia kuwa kuna Mkono wa Khadafi?
Hicho chuo kimejaa watumishi hasa wahadhiri waganda ambao professional qualification zao ni questionable.
Sielewi TCU waliwezaje kuwapa ithibati ya kufanya kazi ya kutoa elimu kwa kiwango cha degree bila kuangalia viwango vya elimu vya wahadhiri.
Pia kuna taarifa za wafanyakazi wazawa kubaguliwa na kunyanyaswa na hao waganda wa KIU.
mwanakijiji@jamiiforums.com
Binafsi NAKERWA, NAKASIRISHWA, NA KUCHUKIZWA sana na haya mambo kwamba eti "ameshauriwa vibaya na wasaidizi wake!" Huwa mara zote najiuliza ikiwa anashauriwa vibaya ni kwanini basi kila wakati awe anachukua huo ushauri mbaya!! - NasDaz?