MD25
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 3,074
- 1,023
Waliomkaribisha pia wamejioyesha hadharani.
Mmoja wao aliyejionyesha hadharani ni Riziwani Kikwete.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliomkaribisha pia wamejioyesha hadharani.
CottonEyeJoe,
Kampala International University mmiliki ni nani? kuna Mdau aliniambia kuwa kuna Mkono wa Khadafi?
mkuu ulivyoanza nkajua unatoa jibu la MMKJ kumbe umerudi pale pale, JB mganda ni nani hapa TZ?Nimefurahi sana wabongo tulivyo...
Ana HIV
Alikua jambazi
Alikosana na M7
Anakwepa kodi
Ana...
Ana...
Hivi ule msemo wa Benjamin W Mkapa kuwa wa Tanzania ni mbilikimo wa mawazo na wavivu wa kufikiri ni kweli?
Kuna mmoja anaandika eti ukimwona tu unamjua ni mgonjwa! KHAAA are we that low?
JB is not married to Lilian. Wanaishi pamoja tu.
Kuhusu biashara zake ni kweli zinakua kwa kasi. Ila sijui kama ni za halali au hapana.
Kwanini wabongo tunapenda uongo? kama hujui si unyamaze tu?
mkuu ulivyoanza nkajua unatoa jibu la MMKJ kumbe umerudi pale pale, JB mganda ni nani hapa TZ?
ni kweli nenda KCB, JB ni mmoja wa wakopaji wakubwa na anae heshimika na bank hiyo ...
Ni tajiri gani asiyekua na madeni Benki?
Nimefurahi sana wabongo tulivyo...
Ana HIV
Alikua jambazi
Alikosana na M7
Anakwepa kodi
Ana...
Ana...
Hivi ule msemo wa Benjamin W Mkapa kuwa wa Tanzania ni mbilikimo wa mawazo na wavivu wa kufikiri ni kweli?
Kuna mmoja anaandika eti ukimwona tu unamjua ni mgonjwa! KHAAA are we that low?
JB is not married to Lilian. Wanaishi pamoja tu.
Kuhusu biashara zake ni kweli zinakua kwa kasi. Ila sijui kama ni za halali au hapana.
Kwanini wabongo tunapenda uongo? kama hujui si unyamaze tu?
Mzee Mwanakijiji,
Mr Justus Baguma, a Ugandan entrepreneur in Tanzania, owns the JB Belmont, Savannah and some shops at Quality Centre and has also been elected the chairman of the Ugandan Community in Tanzania.
He is a self-proclaimed self made man and attributes his success to hard work... Whether "hard work" means "trouble for Tanzania" I don't know....
Naomba nitofautiane na wewe, huyu ni MWEKEZAJI!
Ametoa ajira lukuki kwa wa~Tanzania tofauti na hao Wafanyakazi wa kigeni WACHINA/WAHINDI/WAPAKISTAN etc. zaidi ya 10,000 wanaokaa na kufanya kazi zinazoweza kufanywa na Wa-Tanzania!
Tusker Bariiiidi kwahiyo unataka kutuhakikishia kwamba Justus Baguma anaishi na kufanya biashara nchini kihalali? Hafanyi magumashi kama wanavyofanya wengine?
naunga mkono hoja hapo kwenye bold. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Jamaa kawekeza sana nchini na kutoa ajira
iwapo vitegauchumi vyake vimesajiliwa kihalali na mamlaka husika na analipa kodi stahiki, basi afanyacho ni halali. Lakini kama hajafikishwa mahakamani kwa kuishi kinyume na sheria na kukwepa kodi then tumwache aendelee kuajiri vijana wetu katika vitega uchumi vyake! Nukta
Kuna jina limekuwa likirushwa rushwa kwenye mazungumzo juu ya raia mmoja wa Kiganda ambaye anakwenda kwa kutumia initials za "JB". Does anybody know who he is and what has he been doing in Tanzania na kama in anyway shape or form anaweza kuwa ni tatizo kwa Tanzania?
walimu karibu wote ni waganda watanzania ni 4 ajira gani unayozungumzia ? Kusafisha vyoo na
kuwa waongo kwa wabongo inatokana na wabongo wengi kuwa wavivu wa kufanya kazi ivyo wanakuwa waongo waweze kulaNimefurahi sana wabongo tulivyo...
Ana HIV
Alikua jambazi
Alikosana na M7
Anakwepa kodi
Ana...
Ana...
Hivi ule msemo wa Benjamin W Mkapa kuwa wa Tanzania ni mbilikimo wa mawazo na wavivu wa kufikiri ni kweli?
Kuna mmoja anaandika eti ukimwona tu unamjua ni mgonjwa! KHAAA are we that low?
JB is not married to Lilian. Wanaishi pamoja tu.
Kuhusu biashara zake ni kweli zinakua kwa kasi. Ila sijui kama ni za halali au hapana.
Kwanini wabongo tunapenda uongo? kama hujui si unyamaze tu?
Hicho chuo kimejaa watumishi hasa wahadhiri waganda ambao professional qualification zao ni questionable.
Sielewi TCU waliwezaje kuwapa ithibati ya kufanya kazi ya kutoa elimu kwa kiwango cha degree bila kuangalia viwango vya elimu vya wahadhiri.
Pia kuna taarifa za wafanyakazi wazawa kubaguliwa na kunyanyaswa na hao waganda wa KIU.