isambe
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 2,195
- 1,407
Nyie watu weusi mbona mna wivu na choyo ya wenyewe kwa wenyewe?,yaani mtu aninvest na ku create employment kwa dada zenu kimwili na kifinance nyie mna mdiscuss,utakuta hoja hii concept yake ni mtu kaporwa mtu na huyo JB,basi anaanza kumchimba,mbona sijawasikia mkitaka kuwamulika wachina ambao wao ni worse kuliko investors wote.