Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
- #41
Duh; bado naona watu wanazunguka mbuyu tu... haya bana.. ngoja siye tuendelee kupiga soga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JB ni janga kwa taifa hili....mpeni muda kidogo tu you will prove this..... mbali na hayo mambo ya down to earth ni mzinzi sana na anaharibu sana mabinti pale Quality Centre
Mwanakijiji habari yako haijakamilika kwa uwa inaacha maswali mengi kuliko majibu, na umeiandika katika lugha ya kijiweni kwa mimi nasikitika kuiita habari hiyo ni majungu na siko tayari kuchangia upuuzi huo zaidi ya kukuambia tumia lugha fasaha kuwasilisha usemacho kama hujui kiswahili andika hicho kiingereza chako na kama hujui kiingereza fasaha andika kiswahili fasaha.
Hiyo hii ndiyo inamilikiwa na Justus Baguma,Kwenye records za BRELA kuna makampuni kadhaa yenye majina yanayoanza na JB na makampuni hayo yamesajiliwa kuanzia mwaka 2007 ila sina uhakika kama yana uhusiano na huyo Mganda
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100%"]
[TR]
[TD="width: 10%, bgcolor: transparent"]60146[/TD]
[TD="width: 68%, bgcolor: transparent"]JB VENTURE SOLUTIONS LIMITED[/TD]
[TD="width: 10%, bgcolor: transparent"]27/04/2007[/TD]
[TD="width: 11%, bgcolor: transparent"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%, bgcolor: transparent"]60259[/TD]
[TD="width: 68%, bgcolor: transparent"]JB FLORA LIMITED[/TD]
[TD="width: 10%, bgcolor: transparent"]08/05/2007[/TD]
[TD="width: 11%, bgcolor: transparent"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%, bgcolor: transparent"]62598[/TD]
[TD="width: 68%, bgcolor: transparent"]JB LAB MAINTENANCE LTD[/TD]
[TD="width: 10%, bgcolor: transparent"]18/10/2007[/TD]
[TD="width: 11%, bgcolor: transparent"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%, bgcolor: transparent"]66328[/TD]
[TD="width: 68%, bgcolor: transparent"]JB TRANSPORTES AND TOURS OPERATORS CO LIMITED[/TD]
[TD="width: 10%, bgcolor: transparent"]02/07/2008[/TD]
[TD="width: 11%, bgcolor: transparent"]incorporation[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%, bgcolor: transparent"]66875[/TD]
[TD="width: 68%, bgcolor: transparent"]JB FINANCIAL SUPPORT LIMITED[/TD]
[TD="width: 10%, bgcolor: transparent"]04/08/2008[/TD]
[TD="width: 11%, bgcolor: transparent"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%, bgcolor: transparent"]67500[/TD]
[TD="width: 68%, bgcolor: transparent"]JB ELECTRONICS & GENERAL TRADERS CO. LIMITED[/TD]
[TD="width: 10%, bgcolor: transparent"]16/09/2008[/TD]
[TD="width: 11%, bgcolor: transparent"]incorporation[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%, bgcolor: transparent"]67801[/TD]
[TD="width: 68%, bgcolor: transparent"]JB NTIRUGELEGWA CO. LIMITED[/TD]
[TD="width: 10%, bgcolor: transparent"]07/10/2008[/TD]
[TD="width: 11%, bgcolor: transparent"]incorporation[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%, bgcolor: transparent"]114918[/TD]
[TD="width: 68%, bgcolor: transparent"]JB INDEPENDENT[/TD]
[TD="width: 10%, bgcolor: transparent"]24/09/1997[/TD]
[TD="width: 11%, bgcolor: transparent"]incorporation[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%, bgcolor: transparent"]115248[/TD]
[TD="width: 68%, bgcolor: transparent"]JB MODERN ENTERPRISES[/TD]
[TD="width: 10%, bgcolor: transparent"]27/10/1997[/TD]
[TD="width: 11%, bgcolor: transparent"]incorporation[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%, bgcolor: transparent"]73419
[/TD]
[TD="width: 68%, bgcolor: transparent"]JB HOSPITALITY LIMITED
[/TD]
[TD="width: 10%, bgcolor: transparent"]28-Oct-09[/TD]
[TD="width: 11%, bgcolor: transparent"]incorporation[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%, bgcolor: transparent"]78202[/TD]
[TD="width: 68%, bgcolor: transparent"]JB ADVERTISE & PROMOTION CO. LIMITED[/TD]
[TD="width: 10%, bgcolor: transparent"]26/08/2010[/TD]
[TD="width: 11%, bgcolor: transparent"]incorporation[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Tatizo siyo la JB bali kwa hao mabinti wanaoenda kwake.
Hiyo hii ndiyo inamilikiwa na Justus Baguma,
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD]JB HOSPITALITY LIMITED[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
JB ndiyo anayeendesha Bar zote katika hoteli za Paradise. Hoteli za Paradise zinamilikiwa na wasomali ambao huwa hawauzi pombe kwa hiyo waliingia makubaliano na JB kuendesha migahawa itakayo kuwa inauza pombe kwenye hoteli zote zinzzomilikiwa na Paradise na East Africa hotel, migahawa hiyo huitwa SAVANNAH.
Siku za karibuni JB ameuziwa Paradise Hotel iliyokuwa Mkapa Tower na kuibadili jina kuuita JB Belmont. Pia amefungua chain of businesses pale Quality Centre.
Mwanakijiji habari yako haijakamilika kwa uwa inaacha maswali mengi kuliko majibu, na umeiandika katika lugha ya kijiweni kwa mimi nasikitika kuiita habari hiyo ni majungu na siko tayari kuchangia upuuzi huo zaidi ya kukuambia tumia lugha fasaha kuwasilisha usemacho kama hujui kiswahili andika hicho kiingereza chako na kama hujui kiingereza fasaha andika kiswahili fasaha.
JB ni janga kwa taifa hili....mpeni muda kidogo tu you will prove this..... mbali na hayo mambo ya down to earth ni mzinzi sana na anaharibu sana mabinti pale Quality Centre
Unaposoma comments za wachangiaji wa hii Thread unazidi kupata picha halisi ya elimu yetu na uwezo wa kufikiri.Mtu anaandika kuwa JB ni janga la taifa(huu nao umekuwa msemo ambao kila asiye na hoja anautumia kuficha utupu wake) bila kutoa sababu yoyote.Wengine wanadai Kasi ya JB inatisha,haya ni madhara ya watu kuzoea kasi ya kobe,kila kitu foleni,mipango kuchukua miaka mingi kuliko utendaji.Uvivu wetu unazidi kukua kwa kasi kwa hio wakija wageni wakaona nafasi za kukua kwa biashara zao hapa Tanzania tunaishia kwenye porojo zetu za kila siku ilhali ripoti zote za kimataifa zinaonesha kuwa tunaongoza kwa uzembe kwenye EAC.
So what's your point?Tuendeleze kasumba yetu ya kila tajiri ni fisadi ama freemason kwa sababu ujamaa hautaki matajiri?Story za aina hii nzuri kweli kama watasimuliwa kina Obama kwenye mkutano wao wa G8. Kuwa tajiri sio tatizo na kwa kweli tunahitaji watu wenye uwezo wa kufanya biashara na kutengeneza mitaji na ajira. Lakini Tanzania ina watu wendawazimu sana. Mtu akishakuwa na hela basi asisemwe wala kuguswa hata kama hela zake zinapatikana pasipo uhalali. Sio busara kumuonea wala kumsingizia mtu. Ila penye ukweli lazima pia usemwe....nyinyi mliozoea kuimba sifa za matajiri na wenye hela endeleeni tu maana hata Akudo, Twanga pepeta, diamondo soundo wanaifanya kwa uastadi mkubwa kazi hiyo ya kuimbia wenye pesa mjini, kama kina Papaa Msofe na Ndama mtoto wa ng'ombe.
We Ikorogo Le Kurya, unajuwaje ni Justus Baguma na siyo Otoigo au Mwita Marwa au Warwa! Inawezekana maana majina mengi ya Kiganda hasa hasa ya Banyankole yana fanana sana na ya Kihaya. Nakumbuka kuna agency fulani ilkuwa inahusika sana na mambo haya ya Real Estate ilikuwa na initials hizo hizo (JB) na walikuwa ni Waganda, niliwahi kwenda kwao kuhulizia nyumba fulani walio kuwa wanahuza - nilipo fika pale nilikuta wana zungumza Kiganda na wenzake niliwasikia vyema waliyo kuwa wanazungumza, nilipo wasalimia kiganda na kuwahuliza maswali kwenye lugha hiyo hiyo walishtuka SANA.Okay, JB = Justus Baguma,,,,,,!!??
Hiyo ilikuwa ni hoteli ya nani au alinunua kutoka kwa nani?
kama wanakubali wenyewe there is nothing wrong with it, angekua anawabaka labda kwa mdomo wa bastola then tungem discuss! huo ndio urithi wa waafrika wakipata pesa!