neggirl
JF-Expert Member
- Jul 30, 2009
- 4,849
- 2,132
Kumbe watu mnaangaliaga bongo movie..
Kwi kwiiiiiii ... afu watu wengi huwa wanazikandia kweli lol
Jb my vote tafadhali
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe watu mnaangaliaga bongo movie..
Unafananisha Gasho na Mwanaume!Kumekuwa na ubishani miongoni wma wadau wa sekta ya bongo movie hasa baada ya kufariki marehemu KANUMBA(R.I.P) kuwa nani hasa anafuta nyayo zake je ni RAY au JB kwa mtazamo wako kati ya RAY na JB nani mkali
wote bado sana. am addicted with European movies
Jb mkali ila bado sijaona investment zake kama nyumba,gari ofisi asija akawa mtu wa starehe tu