JB na Ray: Tumalize ubishi hapa

JB na Ray: Tumalize ubishi hapa

Kumbe watu mnaangaliaga bongo movie..

Kwi kwiiiiiii ... afu watu wengi huwa wanazikandia kweli lol

Jb my vote tafadhali

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kumekuwa na ubishani miongoni wma wadau wa sekta ya bongo movie hasa baada ya kufariki marehemu KANUMBA(R.I.P) kuwa nani hasa anafuta nyayo zake je ni RAY au JB kwa mtazamo wako kati ya RAY na JB nani mkali
Unafananisha Gasho na Mwanaume!
 
Ajabu ni pale karibu wote mnaposema ray hajui lakini sokoni anakimbiza.....c ajabu ndo nyie nyie mnaonunua kazi zake...........hapo fake nani ray au nyinyi??????
 
mm muv za kibongo znankera kwel yan hazpand kabsa bt nkikuta muv jb kaigiza ntachek bt wengne kna ray wauza sura 2 kwanza n mzee wa kujchubua anatinda ad nyusi mwanaume gan uyu anaabisha banaaah,,, bonge la bwana yupo juu bt ray jina 2
 
Jb mkali ila bado sijaona investment zake kama nyumba,gari ofisi asija akawa mtu wa starehe tu
 
Posh tupo pamoko sio kwamba ur addicted with european movie bali huwezi kuangalia watu wanaopoteza muda huku wakijitahidi kusisitiza na mijicho mikavu kuwa ni actors hata huyo kanumba hakuna kitu wanazingua tu:nono:
 
Jb Ni Msanii Bora Na Ana Busara Tofauti Na Ray Anayefoka Tu
 
movie zangu mwenyewe sijawahi kuangalia wala bongo movie yeyote.....maneno ya HEMEDY PHD actor wa BONGO MOVIE
 
Back
Top Bottom