JBL BoomX3

Radio ingine bora kwa sasa na haina mpinzani na bei ni nzur ni Anker soundcore boom Motion plus, hizi brand zote mbili nimezitumia kwa almost miaka mitano sasa ila jbl yuko more famous sana ila anker ni habari ingine.Mwenye kubisha abishe ila nimeshaplace order hapa
 
Inauzwa 1.3 - 1.4 millions mkuu.
Bei ya kiwanja kwa walala hoi na unapeleka tofali za kuanzia msingi
"Duuuuuuh!!

We jamaa ndezi kweli, yaani nishindwe kwenda hapo kkoo, kila machinga anazo wanauza 65k nije kutoa million " - (Alisikika mshamba mmoja mwenye wivu akiongea,)
 
Mchina lazima atoe copy hii. Mchina yupo vizuri kwa Copy
Nakumbuka kipindi kile nipo mdogo, baba alikuwa na Sony ya kanda za Cassete. Ilikuwa inagonga Sabufa ya mchina ikasome.
Mjomba si akaipenda, akaenda kununua dukani akakutana na copy ya mchina. Alijuta kuinunua ile Sony naikumbuka mpaka sasa hivi ilikuwa na muziki mzuri sana.
 
Vya kale ni dhahabu
Zile zilikua pure 2.0
 
Ina hi Fi system ndani yake (high fidelity)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…