Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu sio kinyonge kabisaUmeuliza kinyonge boss
Jana niliperuzi ule uzi wa subwoofer nikaona kuna mtu aliitaja hiyo JBL, Nimeona AliExpress zile za mchongo na chapa ni hii hii,Million moja laki tatu na hamsini
1350000
Huna hela wabongo kibao wanazoKwa 1.5m, wabongo wataishia kuninua copy alafu kuja kupigia watu kelele humu
Ichambue na boom motion plus ya anker ewe mtaalamu wa muzikiMpangilio bora na usikivu bora
mkuu tafuta hii inaitwa xiaomi sound outdoor,ina watts sawa na iyo flip 6 watts 30. ukiipata hii utaacha kutumia iyo flip 6, na bei yake ni nusu ya bei uliyonunulia flip 6Jbl flap 6
Hi nmeitumia kwa kipindi furani
Iko njema sanaaa
"Duuuuuuh!!Inauzwa 1.3 - 1.4 millions mkuu.
Bei ya kiwanja kwa walala hoi na unapeleka tofali za kuanzia msingi
Mchina lazima atoe copy hii. Mchina yupo vizuri kwa CopyWakati dunia imeshikwa na sonny, LG, Samsung na Sonny kwa kipindi kirefu… huku wakitamba na vifaa vyao konki na bora duniani…. JBL pia alikuepo sokoni.
Ila hakuwa na vifaa vingi vya kushika soko, hadi hapo miaka ya karibuni baada ya kufuatua vifaa bora na vya bei ya wastani.
Ubora na uimala wake ukashika hatamu ikauza na kuuza.
Naamu na sasa nnaweza kusema ni moja ya campuni nzuri na bora sokoni ki ushindani wa biashara na ubora wa vifaa.
Hawakuishia hapo kwani September 8 2022 kwa mala ya kwanza JBL walitambulisha sokoni mnyama wa kuitwa boomx3.
Portable speaker bora yenye radha nzuri ya muziki,
Ikikupa dynamic bass na tweeter nzuri isiyochosha.
Hizi ni baadhi ya sifa zake
1. Mzigo ni 2.1 stereo with deep bass ,hivyo itakupa mziki mzito wenye mkito mzuri
2. Ina connect kwa Bluetooth
3. Inacheza kati ya frequency 40-20KHz
4. Inafanya kazi masaa24 tangu ichajiwe full
5. Plastic yake ni chapa ya IP67 hivyo ni ngumu isiyovunjwa kwa wepesi
6. Chuma ni water proof pia inazuita takayaka kuingia
7. Chuma ina 136watts jumla
8. Chuma ina kg6.70 hivyo huchoki kuibeba.
9 Ukitaka kuochaji hadi ijae vizuri basi ni 24hrs😣
Yess its is boom x3
View attachment 3188901
Vya kale ni dhahabuMchina lazima atoe copy hii. Mchina yupo vizuri kwa Copy
Nakumbuka kipindi kile nipo mdogo, baba alikuwa na Sony ya kanda za Cassete. Ilikuwa inagonga Sabufa ya mchina ikasome.
Mjomba si akaipenda, akaenda kununua dukani akakutana na copy ya mchina. Alijuta kuinunua ile Sony naikumbuka mpaka sasa hivi ilikuwa na muziki mzuri sana.
Nunua tumia ni kama laki 3 na 20 tuNitaifuatilia
Ina hi Fi system ndani yake (high fidelity)Wakati dunia imeshikwa na sonny, LG, Samsung na Sonny kwa kipindi kirefu… huku wakitamba na vifaa vyao konki na bora duniani…. JBL pia alikuepo sokoni.