JBL BoomX3

Hiyo bei mbn haiendani na hiko kiredio 1.5m
Quality ya jbl na wanaz wa hizo redio ni mbingu na ardhi , kama huna pesa usiguse jbl wala bose na babu yao harman kardon ,hizo kwanza ndio brand angalau tunazimudu kun wapuuzi kama kina bang and olufen na wapuuzi wengine huez gusa .Kwa mimi ambaye nimetumia brand ya jbl kwa device 2 tu charge 5 na hometheatre yao ,ufanisi wao hausimuliki ni high quality device inayokupa top quality kabisa ya mziki, Ukishindwa brand ambayo pia angalau kwa bluetooth speaker na unaeza jiona nawe na mtu kaa na Anker ,mwisho kabisa labda ndio uje huko kina Oraimo na takataka za sundar na kina Aborder ,narudia kwa region yetu huku Mwanaume wa mziki ni jbl tu
 
mkuu tafuta hii inaitwa xiaomi sound outdoor,ina watts sawa na iyo flip 6 watts 30. ukiipata hii utaacha kutumia iyo flip 6, na bei yake ni nusu ya bei uliyonunulia flip 6
Bei gani?
 
Bei gani?
Hakuna kitu flip 6 huez linga isha na xiaomi . Kamwe tusidanganyane ,flip 6 ina utofauti mdogo sana na model ya jbl charge 5 ambayo nadhan ndio blueetooth speaker iliouzika sana Kutoka jbl ikiwa na bei isiopungua almost laki 4 hivi za Kitz .Pichani ni mwamba charge 5 kwa ubora wake
 

Attachments

  • PXL_20241210_213712080.jpg
    454.2 KB · Views: 5
  • PXL_20241210_213722395.jpg
    500.8 KB · Views: 7
  • PXL_20241210_213747015.jpg
    345.1 KB · Views: 6
  • PXL_20241210_213737623.jpg
    393.3 KB · Views: 7
  • PXL_20241210_213756288.jpg
    390.9 KB · Views: 8
kama
Bei gani?
kama huwa inatumia aliexpres agiza ali expree
 
Lipia tangazo.
 
Sabwoofer zinaelekea kupotea kabisa, uzuri wa hizi unaweza kutumia outdoor.

Niliiona JBL music box inahatari aisee!
 
Nakubali mkuu tena tukuyu mjini kabisa, mimi naishi sehemu moja inaitwa Kitati ya Mpwapwa karibu na Pwaga kuna mnara wa Halotel kwa chini ndio nina zizi langu la mbuzi na kondoo hapo, mwaka huu nimepanga kuweka na ng'ombe pia.
😅
 


Picha ya JBL Boombox3 uliyoweka hapa ni JBL fake, kuwa makini sana sanaa, do simple research ujue JBL OG zikoje na Fake zikoje, go to Google and You Tube, itakusaidia sana, kuna vitu vidogo vidogo unaweza usijue ipi OG ipi fake, but ukishafuatilia utajua kwa uhakika ipi OG ipi fake..!!

99% or if not 100% za JBL zinazoletwa hapa Bongo mostly Dar ni fake kabisa
 
Hu ni uzi maalumu wa kuziongelea jbl x3
Na specification zake na sio uzi wa utambuzi wa olignal au feki
Ukitazama nimejalibu tu kuongelea zilivyo(ki utendaji) na sio zaidi ya hapo
 
mkuu tafuta hii inaitwa xiaomi sound outdoor,ina watts sawa na iyo flip 6 watts 30. ukiipata hii utaacha kutumia iyo flip 6, na bei yake ni nusu ya bei uliyonunulia flip 6
TSH ngapi hii ?
 

Hii ni nje ya TZ,hili duka ni la duty free,mwaka juzi nilinunua jbl charge 5 usd 155 iko poa mpaka leo,juzi kati nikapita kwenye website yao nikakuta tofauti ya jbl extreme 4 na boox3 ni usd 50!naomba kujua ubora wa hizi speaker mkuu,japo hii boombox 3 kuna alikataliwa kupanda nayo ndege sababu ina lithium battery kubwa,nataka nijilipue hivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…