Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Hiyo bei mbn haiendani na hiko kiredio 1.5m
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Quality ya jbl na wanaz wa hizo redio ni mbingu na ardhi , kama huna pesa usiguse jbl wala bose na babu yao harman kardon ,hizo kwanza ndio brand angalau tunazimudu kun wapuuzi kama kina bang and olufen na wapuuzi wengine huez gusa .Kwa mimi ambaye nimetumia brand ya jbl kwa device 2 tu charge 5 na hometheatre yao ,ufanisi wao hausimuliki ni high quality device inayokupa top quality kabisa ya mziki, Ukishindwa brand ambayo pia angalau kwa bluetooth speaker na unaeza jiona nawe na mtu kaa na Anker ,mwisho kabisa labda ndio uje huko kina Oraimo na takataka za sundar na kina Aborder ,narudia kwa region yetu huku Mwanaume wa mziki ni jbl tuHiyo bei mbn haiendani na hiko kiredio 1.5m
Bei gani?mkuu tafuta hii inaitwa xiaomi sound outdoor,ina watts sawa na iyo flip 6 watts 30. ukiipata hii utaacha kutumia iyo flip 6, na bei yake ni nusu ya bei uliyonunulia flip 6
hii mkuu ni laki na 30, ni same na jbl flip 6Bei gani?
Hakuna kitu flip 6 huez linga isha na xiaomi . Kamwe tusidanganyane ,flip 6 ina utofauti mdogo sana na model ya jbl charge 5 ambayo nadhan ndio blueetooth speaker iliouzika sana Kutoka jbl ikiwa na bei isiopungua almost laki 4 hivi za Kitz .Pichani ni mwamba charge 5 kwa ubora wakeBei gani?
kama huwa inatumia aliexpres agiza ali expreeBei gani?
Hakuna kitu flip 6 huez linga isha na xiaomi . Kamwe tusidanganyane ,flip 6 ina utofauti mdogo sana na model ya jbl charge 5 ambayo nadhan ndio blueetooth speaker iliouzika sana Kutoka jbl ikiwa na bei isiopungua almost laki 4 hivi za Kitz .Pichanimkuu mimi sio mfanya biashara,hizi zote ninazo iyo jbl flip 6 yako nimeshaiuza...na usikariri kwamba mchina hawez ingia kwa jbl..tusikariri bland..ifanyie utafit iyo xiomi then urud hapa...na bei yake simpo tu aliexpress..tena kwa bei ya jbl flip 6 unanunua hizo za xiomi mbili unazipair zinaleta stereo sound..mziki wake ni balaa. mimi niliaagiza aliexpress baada ya kufanya utafit kwa kina na review mbali mbali,,baada ya iyo speaker kuipokea nikakubali yaliyosemwa ni kwel.Hakuna kitu flip 6 huez linga isha na xiaomi . Kamwe tusidanganyane ,flip 6 ina utofauti mdogo sana na model ya jbl charge 5 ambayo nadhan ndio blueetooth speaker iliouzika sana Kutoka jbl ikiwa na bei isiopungua almost laki 4 hivi za Kitz .Pichani ni mwamba charge 5 kwa ubora wake
Lipia tangazo.Wakati dunia imeshikwa na sonny, LG, Samsung na Sonny kwa kipindi kirefu… huku wakitamba na vifaa vyao konki na bora duniani…. JBL pia alikuepo sokoni.
Ila hakuwa na vifaa vingi vya kushika soko, hadi hapo miaka ya karibuni baada ya kufuatua vifaa bora na vya bei ya wastani.
Ubora na uimala wake ukashika hatamu ikauza na kuuza.
Naamu na sasa nnaweza kusema ni moja ya campuni nzuri na bora sokoni ki ushindani wa biashara na ubora wa vifaa.
Hawakuishia hapo kwani September 8 2022 kwa mala ya kwanza JBL walitambulisha sokoni mnyama wa kuitwa boomx3.
Portable speaker bora yenye radha nzuri ya muziki,
Ikikupa dynamic bass na tweeter nzuri isiyochosha.
Hizi ni baadhi ya sifa zake
1. Mzigo ni 2.1 stereo with deep bass ,hivyo itakupa mziki mzito wenye mkito mzuri
2. Ina connect kwa Bluetooth
3. Inacheza kati ya frequency 40-20KHz
4. Inafanya kazi masaa24 tangu ichajiwe full
5. Plastic yake ni chapa ya IP67 hivyo ni ngumu isiyovunjwa kwa wepesi
6. Chuma ni water proof pia inazuita takayaka kuingia
7. Chuma ina 136watts jumla
8. Chuma ina kg6.70 hivyo huchoki kuibeba.
9 Ukitaka kuochaji hadi ijae vizuri basi ni 24hrs😣
Yess its is boom x3
View attachment 3188901
1.3 Million mkuuSema bei broo
Nakubali mkuu tena tukuyu mjini kabisa, mimi naishi sehemu moja inaitwa Kitati ya Mpwapwa karibu na Pwaga kuna mnara wa Halotel kwa chini ndio nina zizi langu la mbuzi na kondoo hapo, mwaka huu nimepanga kuweka na ng'ombe pia.Utakuwa unaishi tukuyu, huku dar hiyo ni kodi ya mwezi kigamboni
Wakati dunia imeshikwa na sonny, LG, Samsung na Sonny kwa kipindi kirefu… huku wakitamba na vifaa vyao konki na bora duniani…. JBL pia alikuepo sokoni.
Ila hakuwa na vifaa vingi vya kushika soko, hadi hapo miaka ya karibuni baada ya kufuatua vifaa bora na vya bei ya wastani.
Ubora na uimala wake ukashika hatamu ikauza na kuuza.
Naamu na sasa nnaweza kusema ni moja ya campuni nzuri na bora sokoni ki ushindani wa biashara na ubora wa vifaa.
Hawakuishia hapo kwani September 8 2022 kwa mala ya kwanza JBL walitambulisha sokoni mnyama wa kuitwa boomx3.
Portable speaker bora yenye radha nzuri ya muziki,
Ikikupa dynamic bass na tweeter nzuri isiyochosha.
Hizi ni baadhi ya sifa zake
1. Mzigo ni 2.1 stereo with deep bass ,hivyo itakupa mziki mzito wenye mkito mzuri
2. Ina connect kwa Bluetooth
3. Inacheza kati ya frequency 40-20KHz
4. Inafanya kazi masaa24 tangu ichajiwe full
5. Plastic yake ni chapa ya IP67 hivyo ni ngumu isiyovunjwa kwa wepesi
6. Chuma ni water proof pia inazuita takayaka kuingia
7. Chuma ina 136watts jumla
8. Chuma ina kg6.70 hivyo huchoki kuibeba.
9 Ukitaka kuochaji hadi ijae vizuri basi ni 24hrs😣
Yess its is boom x3
View attachment 3188901
Hu ni uzi maalumu wa kuziongelea jbl x3Picha ya JBL Boom X3 uliyoweka hapa ni JBL fake, kuwa makini sana sanaa, do simple research ujue JBL OG zikoje na Fake zikoje, go to Google and You Tube, itakusaidia sana, kuna vitu vidogo vidogo unaweza usijue ipi OG ipi fake, but ukishafuatilia utajua kwa uhakika ipi OG ipi fake..!!
99% or if not 100% za JBL zinazoletwa hapa Bongo mostly Dar ni fake kabisa
TSH ngapi hii ?mkuu tafuta hii inaitwa xiaomi sound outdoor,ina watts sawa na iyo flip 6 watts 30. ukiipata hii utaacha kutumia iyo flip 6, na bei yake ni nusu ya bei uliyonunulia flip 6
TSH ngapi hii?Jbl flap 6
Hi nmeitumia kwa kipindi furani
Iko njema sanaaa
xiaomi outdoor sound watts 30 watts ni around laki moja na 30TSH ngapi hii ?
Asante kiongozi, hivi kwa Dar wapi naweza kupata OGxiaomi outdoor sound watts 30 watts ni around laki moja na 30
agiza aliexpress kaka,sidhan kama utaipata kwenye maduka ya dar,mimi niliagizaAsante kiongozi, hivi kwa Dar wapi naweza kupata OG
Picha ya JBL Boombox3 uliyoweka hapa ni JBL fake, kuwa makini sana sanaa, do simple research ujue JBL OG zikoje na Fake zikoje, go to Google and You Tube, itakusaidia sana, kuna vitu vidogo vidogo unaweza usijue ipi OG ipi fake, but ukishafuatilia utajua kwa uhakika ipi OG ipi fake..!!
99% or if not 100% za JBL zinazoletwa hapa Bongo mostly Dar ni fake kabisa