JBL BoomX3

JBL BoomX3

Hiyo bei mbn haiendani na hiko kiredio 1.5m
Quality ya jbl na wanaz wa hizo redio ni mbingu na ardhi , kama huna pesa usiguse jbl wala bose na babu yao harman kardon ,hizo kwanza ndio brand angalau tunazimudu kun wapuuzi kama kina bang and olufen na wapuuzi wengine huez gusa .Kwa mimi ambaye nimetumia brand ya jbl kwa device 2 tu charge 5 na hometheatre yao ,ufanisi wao hausimuliki ni high quality device inayokupa top quality kabisa ya mziki, Ukishindwa brand ambayo pia angalau kwa bluetooth speaker na unaeza jiona nawe na mtu kaa na Anker ,mwisho kabisa labda ndio uje huko kina Oraimo na takataka za sundar na kina Aborder ,narudia kwa region yetu huku Mwanaume wa mziki ni jbl tu
 
mkuu tafuta hii inaitwa xiaomi sound outdoor,ina watts sawa na iyo flip 6 watts 30. ukiipata hii utaacha kutumia iyo flip 6, na bei yake ni nusu ya bei uliyonunulia flip 6
Bei gani?
 
Bei gani?
Hakuna kitu flip 6 huez linga isha na xiaomi . Kamwe tusidanganyane ,flip 6 ina utofauti mdogo sana na model ya jbl charge 5 ambayo nadhan ndio blueetooth speaker iliouzika sana Kutoka jbl ikiwa na bei isiopungua almost laki 4 hivi za Kitz .Pichani ni mwamba charge 5 kwa ubora wake
 
Attachments

  • PXL_20241210_213712080.jpg
    PXL_20241210_213712080.jpg
    454.2 KB · Views: 5
  • PXL_20241210_213722395.jpg
    PXL_20241210_213722395.jpg
    500.8 KB · Views: 7
  • PXL_20241210_213747015.jpg
    PXL_20241210_213747015.jpg
    345.1 KB · Views: 6
  • PXL_20241210_213737623.jpg
    PXL_20241210_213737623.jpg
    393.3 KB · Views: 7
  • PXL_20241210_213756288.jpg
    PXL_20241210_213756288.jpg
    390.9 KB · Views: 8
kama
Bei gani?
kama huwa inatumia aliexpres agiza ali expree
Hakuna kitu flip 6 huez linga isha na xiaomi . Kamwe tusidanganyane ,flip 6 ina utofauti mdogo sana na model ya jbl charge 5 ambayo nadhan ndio blueetooth speaker iliouzika sana Kutoka jbl ikiwa na bei isiopungua almost laki 4 hivi za Kitz .Pichani
Hakuna kitu flip 6 huez linga isha na xiaomi . Kamwe tusidanganyane ,flip 6 ina utofauti mdogo sana na model ya jbl charge 5 ambayo nadhan ndio blueetooth speaker iliouzika sana Kutoka jbl ikiwa na bei isiopungua almost laki 4 hivi za Kitz .Pichani ni mwamba charge 5 kwa ubora wake
mkuu mimi sio mfanya biashara,hizi zote ninazo iyo jbl flip 6 yako nimeshaiuza...na usikariri kwamba mchina hawez ingia kwa jbl..tusikariri bland..ifanyie utafit iyo xiomi then urud hapa...na bei yake simpo tu aliexpress..tena kwa bei ya jbl flip 6 unanunua hizo za xiomi mbili unazipair zinaleta stereo sound..mziki wake ni balaa. mimi niliaagiza aliexpress baada ya kufanya utafit kwa kina na review mbali mbali,,baada ya iyo speaker kuipokea nikakubali yaliyosemwa ni kwel.
 
Wakati dunia imeshikwa na sonny, LG, Samsung na Sonny kwa kipindi kirefu… huku wakitamba na vifaa vyao konki na bora duniani…. JBL pia alikuepo sokoni.

Ila hakuwa na vifaa vingi vya kushika soko, hadi hapo miaka ya karibuni baada ya kufuatua vifaa bora na vya bei ya wastani.

Ubora na uimala wake ukashika hatamu ikauza na kuuza.

Naamu na sasa nnaweza kusema ni moja ya campuni nzuri na bora sokoni ki ushindani wa biashara na ubora wa vifaa.

Hawakuishia hapo kwani September 8 2022 kwa mala ya kwanza JBL walitambulisha sokoni mnyama wa kuitwa boomx3.

Portable speaker bora yenye radha nzuri ya muziki,
Ikikupa dynamic bass na tweeter nzuri isiyochosha.

Hizi ni baadhi ya sifa zake
1. Mzigo ni 2.1 stereo with deep bass ,hivyo itakupa mziki mzito wenye mkito mzuri

2. Ina connect kwa Bluetooth

3. Inacheza kati ya frequency 40-20KHz

4. Inafanya kazi masaa24 tangu ichajiwe full

5. Plastic yake ni chapa ya IP67 hivyo ni ngumu isiyovunjwa kwa wepesi

6. Chuma ni water proof pia inazuita takayaka kuingia

7. Chuma ina 136watts jumla

8. Chuma ina kg6.70 hivyo huchoki kuibeba.

9 Ukitaka kuochaji hadi ijae vizuri basi ni 24hrs😣

Yess its is boom x3

View attachment 3188901
Lipia tangazo.
 
Sabwoofer zinaelekea kupotea kabisa, uzuri wa hizi unaweza kutumia outdoor.

Niliiona JBL music box inahatari aisee!
 
Nakubali mkuu tena tukuyu mjini kabisa, mimi naishi sehemu moja inaitwa Kitati ya Mpwapwa karibu na Pwaga kuna mnara wa Halotel kwa chini ndio nina zizi langu la mbuzi na kondoo hapo, mwaka huu nimepanga kuweka na ng'ombe pia.
😅
 
Wakati dunia imeshikwa na sonny, LG, Samsung na Sonny kwa kipindi kirefu… huku wakitamba na vifaa vyao konki na bora duniani…. JBL pia alikuepo sokoni.

Ila hakuwa na vifaa vingi vya kushika soko, hadi hapo miaka ya karibuni baada ya kufuatua vifaa bora na vya bei ya wastani.

Ubora na uimala wake ukashika hatamu ikauza na kuuza.

Naamu na sasa nnaweza kusema ni moja ya campuni nzuri na bora sokoni ki ushindani wa biashara na ubora wa vifaa.

Hawakuishia hapo kwani September 8 2022 kwa mala ya kwanza JBL walitambulisha sokoni mnyama wa kuitwa boomx3.

Portable speaker bora yenye radha nzuri ya muziki,
Ikikupa dynamic bass na tweeter nzuri isiyochosha.

Hizi ni baadhi ya sifa zake
1. Mzigo ni 2.1 stereo with deep bass ,hivyo itakupa mziki mzito wenye mkito mzuri

2. Ina connect kwa Bluetooth

3. Inacheza kati ya frequency 40-20KHz

4. Inafanya kazi masaa24 tangu ichajiwe full

5. Plastic yake ni chapa ya IP67 hivyo ni ngumu isiyovunjwa kwa wepesi

6. Chuma ni water proof pia inazuita takayaka kuingia

7. Chuma ina 136watts jumla

8. Chuma ina kg6.70 hivyo huchoki kuibeba.

9 Ukitaka kuochaji hadi ijae vizuri basi ni 24hrs😣

Yess its is boom x3

View attachment 3188901

Picha ya JBL Boombox3 uliyoweka hapa ni JBL fake, kuwa makini sana sanaa, do simple research ujue JBL OG zikoje na Fake zikoje, go to Google and You Tube, itakusaidia sana, kuna vitu vidogo vidogo unaweza usijue ipi OG ipi fake, but ukishafuatilia utajua kwa uhakika ipi OG ipi fake..!!

99% or if not 100% za JBL zinazoletwa hapa Bongo mostly Dar ni fake kabisa
 
Picha ya JBL Boom X3 uliyoweka hapa ni JBL fake, kuwa makini sana sanaa, do simple research ujue JBL OG zikoje na Fake zikoje, go to Google and You Tube, itakusaidia sana, kuna vitu vidogo vidogo unaweza usijue ipi OG ipi fake, but ukishafuatilia utajua kwa uhakika ipi OG ipi fake..!!

99% or if not 100% za JBL zinazoletwa hapa Bongo mostly Dar ni fake kabisa
Hu ni uzi maalumu wa kuziongelea jbl x3
Na specification zake na sio uzi wa utambuzi wa olignal au feki
Ukitazama nimejalibu tu kuongelea zilivyo(ki utendaji) na sio zaidi ya hapo
 
mkuu tafuta hii inaitwa xiaomi sound outdoor,ina watts sawa na iyo flip 6 watts 30. ukiipata hii utaacha kutumia iyo flip 6, na bei yake ni nusu ya bei uliyonunulia flip 6
TSH ngapi hii ?
 
Picha ya JBL Boombox3 uliyoweka hapa ni JBL fake, kuwa makini sana sanaa, do simple research ujue JBL OG zikoje na Fake zikoje, go to Google and You Tube, itakusaidia sana, kuna vitu vidogo vidogo unaweza usijue ipi OG ipi fake, but ukishafuatilia utajua kwa uhakika ipi OG ipi fake..!!

99% or if not 100% za JBL zinazoletwa hapa Bongo mostly Dar ni fake kabisa
Screenshot_20250309_101838_Chrome.jpg
Screenshot_20250309_101555_Chrome.jpg

Hii ni nje ya TZ,hili duka ni la duty free,mwaka juzi nilinunua jbl charge 5 usd 155 iko poa mpaka leo,juzi kati nikapita kwenye website yao nikakuta tofauti ya jbl extreme 4 na boox3 ni usd 50!naomba kujua ubora wa hizi speaker mkuu,japo hii boombox 3 kuna alikataliwa kupanda nayo ndege sababu ina lithium battery kubwa,nataka nijilipue hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom