JBL SOUNDBAR zinazofanya vzr kwa ss hvi zipo za aina tatu
[emoji3541]JBL 2.1 total power up to 300W
[emoji3541]JBL 5.1 total pwer up to 510W
[emoji3541]JBL 9.1 total pwer up to 820W
Tuanze na sababu ya uhitaji wako wa soundbar nyumbani?
[emoji967] kuna jamaa amesema either unahitaji kwa ajili ya matumizi tuu ya nyumbani
[emoji117]like , music, kusklzia movies na kuconnect na blutooth supporting devices such as simu ama ipad even [emoji335] computer ama laptop
[emoji3541]JBL 2.1 ni nzuri sana kwa kutumia kusklzia MOVIE inatoa ORIGINAL MOVIE SOUND na syo sound zile za makelele km upo kidimbwi unasklza vdeo mpya ya marioo [emoji16][emoji16], kama ulishawah ingia CINEMAX utakua unanielewa namaanisha nn.
[emoji967]So km unatk soundbar alafu ww ni mtu wa movie sana nenda kwnye JBL 2.1 itakufaa sana
View attachment 2353409
[emoji3541]JBL 5.1 hii ni nzuri kwnye kusklzia mziki, kuanglia movie pamoja na kuconnect kwa blth, hii kwnye ile bar yake kuna detachable wireless speakers ambazo zina uwezo wa kukaa na charge mpk masaa 10
View attachment 2353410
[emoji3541]JBL 9.1 hii ni nzuri kwa mtu unayetka soundbar kwa ajili ya mziki mnene, watts 820 ya JBL siyo mchezo ina ngvu sana, hata muonekano wake ukiiona in reality utaelewa namaanisha nni. Pia hii nayo ina detachable wireless speakers ambazo nazo zina uwezo wa kukaa hadi 10hrs zikiwa zinapiga [emoji41]
View attachment 2353411
[emoji967]Jbl 5.1 na 9.1 utofaut wao uko kwnye Watts pamoja na ukubwa wa mziki unazozitoa ila mambo mengne yote yako similar sana..[emoji967]
[emoji3541]Tuje kwnye Gharama ama bei zao
[emoji383]JBL 2.1 ni 950k mpk 1.2M
[emoji383]JBL 5.1 ni 1.75m mpk 1.95M
[emoji383]JBL 9.1 ni 2.5M mpk 2.75M
[emoji117]Note hzi ni bei za kariakoo
Ukienda sehem km mlimani city ama masaki hyo ya 9.1 wanauza 4.5M [emoji16][emoji16][emoji16] but those are with same quality