JBL Sound Bar 9.1 detachable Watts 820

JBL Sound Bar 9.1 detachable Watts 820

Wakuu habari?

Nataka kupendezesha kasebule kangu, nakosa mdundo mzuri tu sebuleni. Wadau wanashauri ninunue Sound Bar za JBL.

Nimefanya ununuzi wa madirishani kwenye baadhi ya maduka yanazouza hizo Sound Bars naambiwa ni wastani wa milioni 2 hadi milioni 2.6.

Naomba kuuliza kwa wazoefu, hii kitu ina value for money, yaani hiyo bei yake ni sahihi ama napigwa?

Ahsante sana.

Updates 10th October 2022
Nimenunua mzigo wa JBL 9.1.

Juzi baada ya kuununua huu mzigo nikawa naitumia kupitia Blue tooth ila sikufeel ile music niliyokua naitaka room.

Kwa bahati nzuri leo nikaingia you tube kuangalia jinsi ya kutumia hii sound bar ndio nikaona kua ukitaka kufurahia tumia HDMI eARC port.

Nilipofanikiwa kutumia hiyo port aisee hii kitu ni hatari, base lake sio la kitoto.

Nimekubali JBL ni noma na nusu.
Tatizo soundbar hazina redio
 
Kinu hii ya bose inaendaje
Bose & JBL when it comes about sound zinazidiana Vitu vidogo sana mzee


Nishafanya testing za JBL, Bose, marshall, okyo, pioneer& ultimate ears wonderboom

Hapa JBL , Bose, pioneer ni Unyama mno sound base Ile balance ya sound na base ni amazing zikipigwa ngoma unahis muimbaji Yupo hapo you feel the sound [emoji91]

Kanda bongoman- muchana [emoji444]
 
Niliingia duka la electronics Njombe nikakuta dada ameweka muziki kucheki ni JBL bei 2.5 m. Aisee muziki naukumbuka hadi leo nikasema nitafanya jambo
 
Back
Top Bottom