- Thread starter
- #21
@EINSTEIN112 anajua sony tu [emoji23][emoji23]Hii ni brand ya ukweli, mziki wa uhakika, Portable na flavour za kimarekani na ulaya. Bei iko vizuri, reasonable.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@EINSTEIN112 anajua sony tu [emoji23][emoji23]Hii ni brand ya ukweli, mziki wa uhakika, Portable na flavour za kimarekani na ulaya. Bei iko vizuri, reasonable.
JBL ina watts ngapi? Kwa udogo huu ina sound gani kufikia bei ya 530k?@EINSTEIN112 anajua sony tu [emoji23][emoji23]
40 watts tu but functionality yake sio ya kawaida....ukitaka sound bar....jbl tunazo pia sema utaanza kulia lia bei [emoji2][emoji2]JBL ina watts ngapi? Kwa udogo huu ina sound gani kufikia bei ya 530k?
Silii bei mkuu maana sina lengo la kusikilizia mziki nje ya home,bar, clubs na kwenye gari so hio sioni sehemu ya kuitumia.40 watts tu but functionality yake sio ya kawaida....ukitaka sound bar....jbl tunazo pia sema utaanza kulia lia bei [emoji2][emoji2]
Usijali mkuu, karibu tenaSilii bei mkuu maana sina lengo la kusikilizia mziki nje ya home,bar, clubs na kwenye gari so hio sioni sehemu ya kuitumia.
Sorry mkuu
Mzigo wa Aner umeisha mkuu kwa sasa zimebaki JBLMkuu hauna Anker soundcore?
Tsh.2,150,000/= mkuuSound bar ya 5.1 channel unauzaje
@nG'aMBu karibuTsh.2,150,000/= mkuu
Kwa speaker zote Portable za jbl hazina radio mkuuMkuu nataka nimnunulie bibi alikua anatumia za mchana zinakufa kila siku, swali langu zina option ya radio fm manake nje ya kuchomeka flash anapenda pia kusikiliza radio.