INAUZWA JBL Wireless, Dust and Water Resistant Speaker for Sale

INAUZWA JBL Wireless, Dust and Water Resistant Speaker for Sale

Available
20211110_220111.jpg
 
Jbl charge 4 Available for only tsh.400,000/=
Screenshot_20211213-093832_Facebook.jpg
 
Charge 5 bora kwa srs 40....XB43 ndo bora zaidi kwa charge 5...though bei yake ipo juu sana
Unapatikana wapi nije nisikilize ? Nilikuwa natumia srs btx500, tangu 2011 ila naona sasa imekuwa outdated, mafikiria srs xb32 to 40 , ila kama jbl itakidhi tunaeza ongea biashara
 
Naomba mnieleweshe kidogo. Ni kwanini nichague hizi na sio hizi subwoofer zilizojaa hapo Manzese na K,Koo. Kuna kitu gani Cha ziada?
Please nisaidie kwa maekezo ya kutosha. Naamini kuna watu wana maswali Kama yangu pia
 
Faida ni nyingi
Why charge 5 is better?
1. Portability
-Unaweza ukaamisha party popote pale uendako unakiweka kwenye begi lako tu unazunguka nacho popote utakapo.

2. Ni chargable
-Unaweza kukichaji hata ukabakia na juice ya kutosha kupiga mziki 20+hours bila kuchaji. Hata usiku umeme umekatika upo na mama watoto unakiwasha tu kulinda privacy[emoji23]

3. Unaweza kucharge simu yako au ipad au tablet.
- Hizi speaker haziitwi charge bure,zinauwezo wa kufanya kazi kama power bank simu yako inapoisha charge unaconnect to kwenye usb port na unaaxa kucharge.

4. Ni water proof na dust resistant.
-Speaker za JBL ni notorious sana kwenye maswali ya maji mwaga hata jagi la maji mzigo utaendelea kugonga mziki.

5. Durability.
-Hizi speaker watoto wa mjini wanaziita mkataba haziungua wala hazifi kizembe

Hope nimekujibu Godee jr
 
Usichukue xb40 ni weak compared tu charge 5....nipo upa

Naomba mnieleweshe kidogo. Ni kwanini nichague hizi na sio hizi subwoofer zilizojaa hapo Manzese na K,Koo. Kuna kitu gani Cha ziada?
Please nisaidie kwa maekezo ya kutosha. Naamini kuna watu wana maswali Kama yangu pia
Hizi ni kwa ajili ya music lovers and enthusias, wale wanaopenda muziki mzuri popote wanapokuwepo.
Haziondoi uwepo wa subwoofers, wala music system sebuleni au chumbani, hii ni mobile package kwa ajili ya audiophiles.
Unapokuwa outdoors kama vile beach, kazini au logde ugenini au popote pale ambapo huwezi ukabeba woofer yako ya sebuleni. Hii ndo inakuwa mbadala wa kukuliwaza kwa wakati huo.
Ndo sababu zinaitwa portable speakers, huwezi ukanunua hii ati uiweke sebuleni , hell no .
 
I beg to differ sebule zinakaa na zikiwa kwenye compact space ndo you really feel how powerful it is.

Connect hizi speaker na smart tv yako hapo utakuja kuniambia its richness in sound transmission
 
I beg to differ sebule zinakaa na zikiwa kwenye compact space ndo you really feel how powerful it is
Haha siwezi kukubishia
Mimi natumia hii kwa ajili ya njiani tu na out doors
Sebuleni kuna kenwood ya mtumba wa Japan , A5j series, the cheapest music sound you can have in town, but bandit when it comes to cranking sound.
 
Back
Top Bottom